Kwangu sioni kama shida ni high bills, shida ni huo ulimbukeni. Sijaita kijiji, unaniletea kijiji cha nini, tuna mazungumzo ya wawili, unakuja na mob ya nini, unataka kunionyesha nini. Mwisho nitachukua namba ya rafiki yako nimuweke na wewe ukae pembeni, si umenionyesha visu zaidi yako?
Mkuu, kama mtu hayupo huru na wewe ni bora asije kabisa, kama kachukua maamuzi ya kukutana na wewe lakini anaogopa, mwambie asije, usifosi vitu ili kjjitutumua.
Kwanza nani kakuambia wadada wa kizazi hiki wanaogopa?
Mleta post analalamikia high bills.Kwangu sioni kama shida ni high bills, shida ni huo ulimbukeni. Sijaita kijiji, unaniletea kijiji cha nini, tuna mazungumzo ya wawili, unakuja na mob ya nini, unataka kunionyesha nini. Mwisho nitachukua namba ya rafiki yako nimuweke na wewe ukae pembeni, si umenionyesha visu zaidi yako?
Mkuu, kama mtu hayupo huru na wewe ni bora asije kabisa, kama kachukua maamuzi ya kukutana na wewe lakini anaogopa, mwambie asije, usifosi vitu ili kjjitutumua.
Kwanza nani kakuambia wadada wa kizazi hiki wanaogopa?
Sawa mkuu!Mleta post analalamikia high bills.
Na kama isingekuwa high bills asingefunguwa uzi huu...
First date wapo wanawake wengine hawapo huru,,
Kama maongezi mtamaliza kwenye chat za simu.
Hyo tushazoea kwa wale wakali wa totos,yote hayo yanatokea sn tu..
Sometimes mwanamke anakuja na mwenzie kama kuja kujiridhisha kwamba wewe ni mwanaume wa aina gani?
So hyo ni kawaida sn mkuu,kama hawana bills kubwa..
Si ndio hivyo mkuu ukishavuka hiyo level hakuna mwanamke atakubabaisha.Aisee mimi nimeshavuka hyo level ya kupenda kufurahisha mwanamke, zamani utotoni ndio nlikua nateseka mwanamke akiniongelea maneno mabaya au labda kunikataa kwa dharau au kunionyesha bad attitude.
Siku hizi nimekua nunda balaa kwanza hela yangu sitoi kwa mwanamke asiyekua na adabu au asie na upendo au genuine intent na mimi. I’m like fxxk off chukulia unavyonichukulia kama sija ridhika na hulka na attitude yake hata 100 yangu sitoi. Its not about being bitter hamna kwani kila mwanamke unaimbisha ??
Na dem anaeza akawa mwanao na mkaelekezana mambo mawili matatu ya kimaisha sio lazima kila mwanamke umtamani ila nikiona analeta mitikasi ya ajabu namlia ganzi ila moyoni nakua nishamuweka kwenye dust bin.
Nakutanaga na cases nyingi sana in my everyday hustles unakuta manzi anakuchukulia poa cz hakujui the moment akija realise ur somebody and not mnyonge kweli as unavyo jiweka unakuta anaanza shobo…..nikishaona dem gold digger namuweka kwenye dust bin sitakagi hata mazoea.
Ushauri wangu kwa vijana wa kiume:
Wanawake 95% ni viumbe selfish na visivyo na shukran. Kijana kuwa mtu wa mipango, piga kazi tekeleza mipango yako na boresha uchumi wako bila shobo na mtu. Hawa viumbe wa kike utawala utawaacha mwenyewe tena sometimes bila hata kutumia nguvu yoyote kubwa. Ukishaona mwanamke hana utu na adabu fukuza !!!
Sio kwamba hawako huru hizo ni drama tu huwa wanafanya.Mleta post analalamikia high bills.
Na kama isingekuwa high bills asingefunguwa uzi huu...
First date wapo wanawake wengine hawapo huru,,
Kama maongezi mtamaliza kwenye chat za simu.
Hyo tushazoea kwa wale wakali wa totos,yote hayo yanatokea sn tu..
Sometimes mwanamke anakuja na mwenzie kama kuja kujiridhisha kwamba wewe ni mwanaume wa aina gani?
So hyo ni kawaida sn mkuu,kama hawana bills kubwa..
Kwamba wanawake wanaogopa kutembea na sugar dady?Sio kwamba hawako huru hizo ni drama tu huwa wanafanya.
Wanawake wa sasa hakuna kitu wanachokiogopa.
Kama wanatembea na wazee wa umri wa baba/babu zao ili wapige hela wataogopa nini kingine
Ukipenda boga ni lazma upende na ua lake babu.....Am still in love with you....
Ila siwapendi mashoga zako....
Umenielewa kinyume chakeKwamba wanawake wanaogopa kutembea na sugar dady?
Sasa Kwa taarifa yko wadada kwa sasa sugar daddy ndy habari ya mjini..
45-55..
Elf 50 tu babu aaaaah nyege si zitakata jamaniKwa maisha ya Tanzania, mahusiano ni kama hasara kwa Mwanaume
Kuanzia dinner dates, hadi faragha za hotel
Kuna jamaa niliona anakimbia bill za mrembo aliyetoka naye dinner hotel x hapa DSM
Binti wa watu akalazimika kuacha simu janja yake ili ku-cover gharama za chakula alichoagiza
Ni vizuri kuwa muwazi kwa mwenzio hasa mnapotoka out hasa eneo la bajeti yako
Mwambie kabisa baby tunatoka, ila nina kiasi cha shilingi 50,000 pekee kwaajili yetu
Yeye ndiyo apime, aje mwenyewe ama abebe timu yake 🙌
Una maana kutembea na sugar daddy kunatakiwa uwe mwanamke jasiri??Sio kwamba hawako huru hizo ni drama tu huwa wanafanya.
Wanawake wa sasa hakuna kitu wanachokiogopa.
Kama wanatembea na wazee wa umri wa baba/babu zao ili wapige hela wataogopa nini kingine
HahahaJamaa mstaarabu sana, kuna vijana ukinywa hata beer yake tu anaanza kukuita babe tukapumzike😎
Ni sahihi harafu wanawake tuliwaelewa vizuri huwa hatuna haraka naoNdy nikasema kwa mnaongea biashara?labda mwanamke wa bar,,
Mwanaume yeyote huweka lengo kwa mwanamke baada ya kumpata kimapenzi,,
Labda uwe unatongoza bar made...ila kama umemwona mwanamke mkali lazima kutengeneza penzi kwnza na kumshawishi ili anase..,
akishanasa ndy malengo ya kubaki au kukimbia yanaanza rasmi.
Tatizo limeanzia hapa, demu akishakuwa mtu wa mitandao huyo sio wa kutongoza, weka dau mwambie uje nikutombe, akija na wenzake maana yake wote wanajua lengo ni lipi hvy ni threesome tuu, then unasepa.Nikakutana na binti mmoja mrembo ambaye picha zake za mitandaoni zinasema kabisa yeye ni wa hadhi ya juu.
Anakuja na mashoga zake kuwaonyesha idadi ya Masimp alionao🤣🤣Mwanamke anayekuja na mob ya wenzake ni limbukeni tu, yupo kukukomoa wala hakupendi/hak
Mwenyewe anamuita Demu mambo Safi🤣Tatizo limeanzia hapa, demu akishakuwa mtu wa mitandao huyo sio wa kutongoza, weka dau mwambie uje nikutombe, akija na wenzake maana yake wote wanajua lengo ni lipi hvy ni threesome tuu, then unasepa.
Sasa ww ukajifanya lover boy Kwa malaya, safi mwenetu.