Sitosahau siku niliyopigana makofi na mwanamke

Kwa kawaida kwenye jamii wanawake ni viumbe tunaowachukulia lege lege sana hii ni kutokana na tabia zao kupenda kujiremba, kutembea kwa malingo, kula mi chipsi nk sasa basi iaiombe itokee ukorofishane na hawa viumbe mfikie hatua muamue kupigana aisee usijidanganye kazi inaweza kuwa rahis hawa viumbe wana nguvu na wakikasirika wanakuwa km mashetan yaan unaweza kumkunja mkono ili umtulize mwenzako akageuka fasta bila kuhofia km mkono utavunjika

Ngoja nikupe stori baba iko hv mwaka fulan nilikuwa na mahusiano na dada fulan ambae aliniambia anasoma kampala internationa l university. Sasa bas baada ya kukaa nae kwa kipindj km miez mitano hv ya mahusiano kuna siku nilimwambia nataka niende kwake nikalale akaniambia nimtumie ela ya kupika chakula ili nikija tukitumie iko chakula lakini baada ya kutuma alibadilika na kuanza kuniambia yupo period hivo niaiende maana sito enjoy niende siku nyingine atakayomaliza period.

Nikamwambia mm nakuja ivo ivo lakini hatutosex akakataa akasema hapana nisiende kwan asijikii vzr ivo anatoka hostel anaenda nyumban iliniuma sn kwan nilihisi kudhulumiwa baada ya kuwaadithia masela wakaniambia uyo mwanamke ni muongo na iyo pesa uliomtumia chakula atakuwa kampikia mwanaume mwingine na ndio upo nae uko kwake. Nilipata hasira sana nikainuka nikachukua pikipiki nikaenda mpaka hostel ilikuwa saa 1 usiku ile kufika tu nikakutana naye mlangoni kavaa kanga nilipotaka kufungua mlango niingie ndani alinisukuma na app ndio ngumi zikaanza mata ya kwanza

Niliamin ningeweza kumdhibiti kirahis lkn timbili halikuwa dogo demu alikuwa na nguvu balaa ikabid nianze kufanya km napigana na mwanaume na sikutake tena easy nilimpa ngumi kadhaa za tumbo aiaee mademu wana matumbo malaini nikamtia lock ya mkono nikampa bapa la mgongo kisha nikamtia ngumi ya kichwa kwa bahati mbaya ikagonga au nzur ikagonga rasta kisha nikamgeuza nikamvuta km nataka kucheza naye bluez nikampiga kichwa cha utosi akanikunja shati yangu akaichana nikataka niichane kanga yke ila akili ikanijia Asije akanisingizia nataka kumbaka na uku uswahilin wanawake wanadhaminiwa kuliko ata kitimoto ikibad nimsukume nikamwambia nipe vi1tu nilivokupa niondoke. Alileta ngumu lkn alipoona nimemkazia ikabid atoe alitoe alitoa simu yngu niliompa akanipa na ile 10000 niliomtumia pamoja na nguo zangu zilizokuwa zipo kwake nikasepa

Ebu nawe tuadiaie aiku uliotwangana makonde na demu ilikuwaje
aibu
 
Eti naweza kukupa elfu 10 kila cku mmmh !!! una MIKWARA lkn nshakujua HUNA KITU nyiny ndo wale mpo bize kwa kuvaa vzr ili muonekane mnazo kumbe njaa kali mlo tu wa siku unapata tabu ukipona sanasana basi umtoa kitumbua kwa muuza chips siku ukipigwa chin upo baa sera huna hela huna
Haya sawa

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
 
Kwa kawaida kwenye jamii wanawake ni viumbe tunaowachukulia lege lege sana hii ni kutokana na tabia zao kupenda kujiremba, kutembea kwa malingo, kula mi chipsi nk sasa basi iaiombe itokee ukorofishane na hawa viumbe mfikie hatua muamue kupigana aisee usijidanganye kazi inaweza kuwa rahis hawa viumbe wana nguvu na wakikasirika wanakuwa km mashetan yaan unaweza kumkunja mkono ili umtulize mwenzako akageuka fasta bila kuhofia km mkono utavunjika

Ngoja nikupe stori baba iko hv mwaka fulan nilikuwa na mahusiano na dada fulan ambae aliniambia anasoma kampala internationa l university. Sasa bas baada ya kukaa nae kwa kipindj km miez mitano hv ya mahusiano kuna siku nilimwambia nataka niende kwake nikalale akaniambia nimtumie ela ya kupika chakula ili nikija tukitumie iko chakula lakini baada ya kutuma alibadilika na kuanza kuniambia yupo period hivo niaiende maana sito enjoy niende siku nyingine atakayomaliza period.

Nikamwambia mm nakuja ivo ivo lakini hatutosex akakataa akasema hapana nisiende kwan asijikii vzr ivo anatoka hostel anaenda nyumban iliniuma sn kwan nilihisi kudhulumiwa baada ya kuwaadithia masela wakaniambia uyo mwanamke ni muongo na iyo pesa uliomtumia chakula atakuwa kampikia mwanaume mwingine na ndio upo nae uko kwake. Nilipata hasira sana nikainuka nikachukua pikipiki nikaenda mpaka hostel ilikuwa saa 1 usiku ile kufika tu nikakutana naye mlangoni kavaa kanga nilipotaka kufungua mlango niingie ndani alinisukuma na app ndio ngumi zikaanza mata ya kwanza

Niliamin ningeweza kumdhibiti kirahis lkn timbili halikuwa dogo demu alikuwa na nguvu balaa ikabid nianze kufanya km napigana na mwanaume na sikutake tena easy nilimpa ngumi kadhaa za tumbo aiaee mademu wana matumbo malaini nikamtia lock ya mkono nikampa bapa la mgongo kisha nikamtia ngumi ya kichwa kwa bahati mbaya ikagonga au nzur ikagonga rasta kisha nikamgeuza nikamvuta km nataka kucheza naye bluez nikampiga kichwa cha utosi akanikunja shati yangu akaichana nikataka niichane kanga yke ila akili ikanijia Asije akanisingizia nataka kumbaka na uku uswahilin wanawake wanadhaminiwa kuliko ata kitimoto ikibad nimsukume nikamwambia nipe vi1tu nilivokupa niondoke. Alileta ngumu lkn alipoona nimemkazia ikabid atoe alitoe alitoa simu yngu niliompa akanipa na ile 10000 niliomtumia pamoja na nguo zangu zilizokuwa zipo kwake nikasepa

Ebu nawe tuadiaie aiku uliotwangana makonde na demu ilikuwaje
Mkuu inawezekana huyu manzi alivoomba hela ya mazaga aliegemea unatuma pesa Ya kutosha, ulivyotuma 10 akakumind, akaamua kukurusha, pole sana MASTER
 
k

upigana na mwanamke ni aibu
 
P
Mkuu inawezekana huyu manzi alivoomba hela ya mazaga aliegemea unatuma pesa Ya kutosha, ulivyotuma 10 akakumind, akaamua kukurusha, pole sana MASTER
Pesa ya kupika ulitaka nimpe sh ngap
 
Unasikitisha sana, sh 10,000 unapigana?
Laki 3 siwezi kupigana sembuse 10k????
 
duh na vitu ukadai, mimi nilimnunuliaga dem simu asubui jioni tukaachana ila simu sikumpokonya yaaani huwa sizingatii ivyo vitu vidogo japo sio tajiri mimi.
 
Acha uzwazwa uwe unadai chako hawa viumbe wakikuzoea wanakuona bwege hujitambui
 
Tena akiwa kavaa kangamoko, na kangamoko yenyewe wala haikudondoka!!! Hahahah
Hv unafikir kuiangusha nilishindwa vitu vengine muwe mna2mia akili hata km ni demu wako mkigombana umvue nguo eeeh sijui ata nn kitatokea
 
Huu Uzi muda siyo mrefu utakuwa wa kutukanana baina ya ke na me. Ngoja nikae pembeni na note book yangu kama George carling.
 
Hivi kumbe ni wewe siku ile kule Gomz ndio ulichapwa na manzi angu?
 
Wanaume msio na hela mnatabia chafu Sana, Yani 10000 ulitaka kuua, endelea na wahuni wenzako, ningekuwa Mimi unanipiga ningekuitia mwizi
Kama hautaki kupewa kichapo pesa za watu unachukua za nini?!

Unajua kabisa huyo sio baba yako, akikupa hela jua kuna kitu atahitaji why unambania, kama ni rahisi hivyo kupata pesa kwann usitafute za kwako ili usije pigwa?!
 
Back
Top Bottom