Sitosahau UKIMWI ulichofanya mtaani kwetu. Nyie watu wa mapenzi kuweni makini

Sidhan kama kuna wanaofurahia condom ila mtu makini hawez kutuhusu starehe ya dk chache impe mateso ya muda mrefu
Hizi ni akili za kukariri sasa nani amekwambia ni starehe ya dakika chache? Ah wengine tunapenda sex marathon threesome orgy. Sawa bwna nyie endeleeni na condom. Mie siwezi katili de libolo yangu utamu asilia kwa kuvaa condom. Suala la kufa na ngoma nilishalikubali and no one can change my mind beckz afterall kila kifo kina sababu
 
Sawa we ushajitoa kafara its your life hakuna wa kukupangia hata ukitaka kunywa sumu ufe meza tu its your life shida yangu ni wewe kuambukiza wenzio ukimwi kwa makusudi.😠👺👹
 
Huu Uzi unatisha wakuu,
Nmesoma comment zote mpk nmeogopa
Uzi Umenifanya nijitafakari sana maisha haya ya Michepuko mwisho wake Ni Huku Huku Kwny umeme[emoji26]
Huu Uzi unasikitisha sana...yaani mpk unaogopa yaan...shuhuda ni nyingi sanaa..
 
Halafu kuna watu wanaambiana waende kavu eti haya ni maisha tu sote tutakufa. Mungu atuepushe na huu ugonjwa umekaa pabaya
Wanadai hata usipokufa kwa ngoma utakufa kwa ajali au kansa, nadhani ni Watu ambao tayari waathirika wameamua kudanganya umma ili wasife pekeyao.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Inamaana unashauri Watu wenye mawe wasichukue tahadhari sababu UKIMWI ni overated kuliko Malaria na kansa?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…