R.I.P Nest ni rafik wa mdogo wangu walisoma ote advance level.....
Ni kijana very humble msikivu na mtanashati...
Alipenda kuniita bro
am 4 real Kwa unyenyekevu na heshima...
Akanipa story alienda kijijini Kwao kutembelea akakuta kadada walichezaga wote udogoni kapo piki (EPIC) ya urembo....
Tupia maneno MAWILI matatu wakaenda peana utamu...
Kumaliza show akawa wana hangout na bidada so kurudi mtaa washikaji wakamsanua kua yule bidada kapita na kibopa mwenye miwaya na ni confirmed bi dada ana miwaya.......
Baada ya mwaka anaambiwa bidada kavuta... mshikaji akabakia dilemma kupima anaogopa na hakuthubutu so mshikaji akiwa mwaka wapili university nayeye akavuta alianza kuugua ugua mara kifua mara homa....