Sitosahau UKIMWI ulichofanya mtaani kwetu. Nyie watu wa mapenzi kuweni makini

Sitosahau UKIMWI ulichofanya mtaani kwetu. Nyie watu wa mapenzi kuweni makini

Aise mie mambo ya condom nimeshindwa kabisa yaani kwanza nikivaa tuu na de libolo linasinyaaa.
Ah wacha nife na ngoma ila kwa utamu wa mbususu siwezi vaa ndom ni kupiga nyeto tuu huko.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mm kondom siachi na nikiikosa kondom namwambia mwanamke avae na aondoke
 
Kumuamini mwanamke kwa macho kumemfanya dogo aangamie [emoji24][emoji24][emoji24], watu wanaangamia kwa kukosa maarifa na tamaa ikiwa na papara za umbo la mwanamke na kutaka kumgegeda bila kondom
Wee siio tamaaa jamani ni basic need hiyo au mnataka watu wawe masters of masturbation🤣🤣🤣🤣
 
Aise mie mambo ya condom nimeshindwa kabisa yaani kwanza nikivaa tuu na de libolo linasinyaaa.
Ah wacha nife na ngoma ila kwa utamu wa mbususu siwezi vaa ndom ni kupiga nyeto tuu huko.
Ila wewe ni mkatili.
Umesema wewe tayar una hiv kwanin usitumie kinga kuwalinda wenzio?
Hujisikii vibaya kuambukiza wenzio☹️
 
Back
Top Bottom