Sitosahau UKIMWI ulichofanya mtaani kwetu. Nyie watu wa mapenzi kuweni makini

Umesahau vyuoni kuna ule mradi maalumu wa kueneza umeme ili ARV ziendelee kuuzwa kwa sana kwa Wateja?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo kila mahusiano mapya mnapima? Mkiwa kwenye mahusiano mnatumia kinga au ni raw? Akichepuka na kuuleta hapo katikati? Aagr hili gonjwa labda tuache kungonoka, otherwise wote tupo kwenye risk.
Na hamna watu wako kwenye hatari ya maambukizi Kama watu walio kwenye serious relationship....Maana mnaaminiana,hakuna Tena condom baina yenu,kwa hiyo mmoja akichomoka akaleta kila mmoja anajifanya hajui umetokea wapi...ndio Maana unashangaa wale malaya hawana maambukizi Maana hamna mtu anamuamini kila akipiga nae anavaa protection
 
Mtaa ni MET huo kuna balaa sana pale mzee,
 
Uzi wa "KULA TUNDA KIMASIHARA" ufutwe haraka sana kunusuru Taifa...[emoji57]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Hapo ndio tatizo lilipo, ukiaminiwa kumbe unapiga nje mwenzako anajua tuko wawili. Ila kuwa na mmoja tu nako mtihani sana jamani.
 
Verse 2

Nina kiapo cha kweli sikuachi mpaka kifo, kwenye mwili wako sipatani na sidifo.../

Naishi na wengi ila kwa kificho, ARV haiwezi kunizuia acheni vitisho.../

Kwenye hili picha mi ni katili zaidi ya dudikofu, maana nishaua masheikh hadi maaskofu.../

Walio nibeza wako mochwari wameganda kwenye jokofu, sa unakujaje kwangu bila kinga hivi hupati hofu?.../

Eti ngoma hauwezi kuipata ukipita njia ya mpalange, nadhani utakuwa hunijui kamuulize masogange.../

Kimboka naskia mnasema siwatishi, niwaache mdange..../

Mkikutana na mimi jiandae mazishi, maana lazima mdanje.../
 
Kwani hawatakufa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] bora wafe kutokana na utamu wa de libolo kuliko corona
Mkuu tunapozungumzia ukimwi ishu hapa sio kufa, ila ishu ni kufa na ukimwi. Mtoa mada kana sentence anasema "kama hujawahi kumuona au kuuguza mgonjwa wa ukimwi huwezi kuelewa vizuri"
 
Halafu kuna watu wanaambiana waende kavu eti haya ni maisha tu sote tutakufa. Mungu atuepushe na huu ugonjwa umekaa pabaya
Kuna mwalimu mmoja wa kike (RIP) tukiwa tunakaa kota, siku za mwisho mwisho wa uhai wake alitoka nje ya nyumba yake mida ya saa 2:30 usiku hana nguo mwilini, akawa anazungumza kwa sauti kubwa,"vijana njooni muone jinsi ninavyoteseka. Msiache tamaa ziwaponze, mtakufa. Mimi nitakufa sio muda mrefu, njooni mjionee ninavyoteseka". Alikaa kama miezi 2 hivi akaaga dunia akiwa kwao Mbeya. Hiyo ilikuwa mwaka 2009 hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…