Mwenyewe niliwaona Katavi yaani watu Wana pokezana madem kwenye mapori wakezao mixer nadada yanayotoka mjini kwenda kujikodisha huko msimu wamavuno ya mpunga.Next ni jamii ya wasukuma. Hawa watu wanafanya mapenzi na wanawake wanaojiuza bila hata kinga.....wanapokezana kama sigara. Machimbo mapya ya wadangaji msimu wa kiangazi ni kwenye mapori ya wasukuma.
Machangu wa mijini yale yalizeeka yaliyoungua msimu wa mavuno ya mpunga yanazamia vijijini huko ni kupeana ngono tu kwa kwenda mbeleMwe
Mwenyewe niliwaona Katavi yaani watu Wana pokezana madem kwenye mapori wakezao mixer nadada yanayotoka mjini kwenda kujikodisha huko msimu wamavuno ya mpunga.
Hatari saanaUKIMWI ni hatari nilishuhudia kwa macho yangu ndugu yangu akipofuka macho asubuhi wakati dada yake akiwa anajiandaa kumwamsha kumpatia chakula. Daah ilikua Mwaka 2009 aisee sitakaa nisahau alivyokua akilia kwa uchungu kwamba haoni tena na hata kaa aone kipindi kile nilkua bado mdogo hadi machozi yalinitoka R.I.P aunt naweza kusema japo kuna magonjwa mdngine mabaya kma Saratan na Sukar ila UKIMWI upewe maua yake
Pia 2016 na 2017 nikashudia UKIMWI ulivyowapiga vibaya watu wangu wa karibu wakaangamia na kuacha watoto wadogo ambapo mtoto mmoja kati ya hao naishi nae kila siku ananiuliza mama atarudi namwambia atarudi siku moja ndio hivyo ni Simanzi tu.
Lakini na ushahidi na mtu mmoja yuko nao sasa kwa zaidi ya miaka 31 naweza sema vitu vingine ni Imani tu! Maana ni mtu anayemjua Mungu Kwelikweli na anatumia dawa ni mtu mzima sana na amefanikiwa kimaisha hata kaajiri watu wengi kwenye kampuni zake ambayo ni NG'Os ya kusaidia waathirika hyu kwa story nilizosikia kwa wazazi wangu Ngoma aliletewa na marehem mumewe na iliyomuua mume wake ni mkanda wa Jeshi na mme wake ali confess mbele yake na kwa wasimamizi wa ndoa yao ambao ni wazazi wangu siku ya kufa kwake kuwa aliupata baada ya kutoka na Secretary wake.
Tuwe makini Waungwana Ngoma is really aisee!Kimasihara so poa utamenya kimasihara na wewe utamenywa kimasihara.
Upo sahihi kiongozi. Ukimwi wa 1990s and 2000s uliondoka na watu wengi sana. Ulikuwa wa moto sana.Waya dah! 2002 ndio serikali imepata msaada wa kuanza kupokea ARV kiokoa maisha, nafika tuu mjini toka chuoni (mbele) nikiwa yanki tuu, naingizwa AMREF kama Mtafiti tiba kwenye tukio lile kubwa na la kihistoria la kuingizwa mara ya kwanza kwa dawa hizi (pipi). Nakumbuka Raisi Mkapa (R.I.P) alilia sana alikuja kututembelea Mwananyamala baada ya kukamilisha Mkakati wa Kitaifa wa Usambazaji wa Dawa kuukabidhi kwa wizara kwa ajiri ya kuuzindua.
Sikuwahi kumuona mtu mzima na raisi analia mbele za watu. Tulitulia tuli roundtable,akalia kiutu uzima, yaani anatoa miwani anafuta machozi na kitambaa huku anairudisha tena. Watu wote kimya, wazungu, katibu mkuu, mpambe, mtu wa kulia, waziri wote wapo na wapo kimya. Bado nina kumbukumbu ya tukio hili liliambatana na zoezi la sensa.
Mkapa awamu yake huu ugonjwa ulimtesa, sana kama kiongozi maana watu wake walikuwa wanakufa kama nzige. Kama Mkapa angelikuwa hai leo na akaulizwa kuhusu UKIMWI awamu yake, naamini angelia tena kwa dakika kadhaa.
Pumzika kwa amani Ben.
Upo sahihi kiongozi. Ukimwi wa 1990s and 2000s uliondoka na watu wengi sana. Ulikuwa wa moto sana.
Wakati ni ukuta. Ingawa beberu ana yake, ila kwa ARVs alitutoa kwenye moto. Mzee mtu alikuwa anaugua week mbili, baada ya hapo ni kitandani…Mateso kama yote na baada ya hapa anakata moto.
Miaka ya 2000 tunaingia vyuoni…aisee kwa tuliosalimika hatuna budi kushukuru. When I look back? Mungu yupo. Nakumbuka baa ya Igongwe pale Mwenge ….maprofesa wa UD waliteketea kama nzige..
In all tuzidi kuwaombea wale waliotangulia mbele ya haki kwa hili gonjwa. Wote tuseme 🙏
mkuu lakini hauoni kama hizo arv ndo zimesababisha ugonjwa uwepo hata hii leo?
hauoni km mkapa alitatua tatizo la muda mfupi la vifo vya watu wake lakini akasababisha ugonjwa uendelee kubaki miongoni raia na kuendelea kuwamaliza taratibu ambalo ni tatizo la muda mrefu zaidi na pengine lisije kuisha kamwe?
hauoni km ayo yalofanyika ndo yamefanya watu waogope kula mbususu kwa raha na amani
sio rahisi kuelewa maana hawajawahi kuuona ndomaana wanashindana kuweka picha zao uko mitandaoni wamebinua makalioBrother we acha tuu kile kipindi. Madogo hawafahamu huu waya tulipotoka nao.
Majimoto, Mpimbwe hii ndio hufanyika huo ujinga.Mwe
Mwenyewe niliwaona Katavi yaani watu Wana pokezana madem kwenye mapori wakezao mixer nadada yanayotoka mjini kwenda kujikodisha huko msimu wamavuno ya mpunga.
Mungu ametuvusha kwa kweli kwa miaka ile ukivuka salama bila UKIMWI, Shukuru Mungu. Nakumbuka nikiwa SUA miaka hiyo, Tumetoka mbali sana.Upo sahihi kiongozi. Ukimwi wa 1990s and 2000s uliondoka na watu wengi sana. Ulikuwa wa moto sana.
Wakati ni ukuta. Ingawa beberu ana yake, ila kwa ARVs alitutoa kwenye moto. Mzee mtu alikuwa anaugua week mbili, baada ya hapo ni kitandani…Mateso kama yote na baada ya hapa anakata moto.
Miaka ya 2000 tunaingia vyuoni…aisee kwa tuliosalimika hatuna budi kushukuru. When I look back? Mungu yupo. Nakumbuka baa ya Igongwe pale Mwenge ….maprofesa wa UD waliteketea kama nzige..
In all tuzidi kuwaombea wale waliotangulia mbele ya haki kwa hili gonjwa. Wote tuseme 🙏