Sitosahau UKIMWI ulichofanya mtaani kwetu. Nyie watu wa mapenzi kuweni makini

Sitosahau UKIMWI ulichofanya mtaani kwetu. Nyie watu wa mapenzi kuweni makini

Nyie mnao penda uterezi sehemu hatari kupata ukimwi kwa juju ni hizi.
1. Kwaya za walokole na walokole wanao kesha.
2. Singo maza wasio nyoosha maelezo yao kuhusi mzazi mwenzie iko wapi.
3. Makahaba wa Buguruni na sinza wengi wameathirika siku nyingi.
4. Wanachuo walio tokea mikoani angalieni wengi wanaambukuza bila kujua kwasbb ya axcitement ya mjini.
5.sexnetwork ndani workmates kazini hususani hizi kazi za field zenye trips hao watu wana laliana sana chungeni usikubali mkeo apangiwe hizo trips atakuletea ukimwi, komaa na kipato chako hicho kdgo.
Mke wangu nimemuachisha kazi kwenye shirika moja hivi baada ya kuona anato gozwa tongozwa na work mate wake
 
Piga dawa uongeze umri, kuna binamu yangu nae kagomea kabisa dawa hataki kusikia....cha ajabu hata apetite huwa hana sio mlaji hivo anakomaa tu na zoezi na anapiga chuma ukimuona sio rahisi kujua.

Sasa hapigi dawa ila anakula mizigo tena anapenda mizigo yenye mawowowo
Katika maamuzi sahihi niliyowahi fanya maishani mwangu ni kukataa hizo arv baada ya kugundua nimeukwaa.
Mie nakomaa na diet nzuri, mazoezi kwa wingi sitaki stress za kijinga na totoza nagonga kwa afya...goli zangu mbili zina itosha mambo sijui ya kuunganisha magoli hapana.
 
Sasa Mzab kama hautumii ARV viral load si ipo juu, hauambukizi unaogonga gonga hizo threesome?
 
Mke wangu nimemuachisha kazi kwenye shirika moja hivi baada ya kuona anato gozwa tongozwa na work mate wake
Mkuu ukimuachisha kazi ndo hataliwa? Tena sasa unaweza kuta akiwa idle ndo analiwa na boda boda wa mtaani...
 
Katika vitu ambavyo nimejiandaa kisaikolojia kuvipokea basi ni ukimwi.
Maana wife ana trip nyingi sana kikazi mikoani yaani hapo kuchepuka ni akili yake tu atumie condom au laah.
Umeisha mkuuu
 
Back
Top Bottom