Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
- Thread starter
-
- #81
Huna akili yaani nife kisa jitu lingine lije kuishi vizuri Sasa wakiishi vizuri Mimi nafaidika na nini wakati mda huo nimeoza Kwa ujinga niliofanya wao wanakula keki ya taifa Kila mtu apambane na maisha yake Kila mtu ana kaburi lake siwezi kufanya huo ujinga mimiInaonekana huna uelewa kabisa wa nature ya maisha ya binadamu. Wabena wa, Njombe, wanasema panda miti kwa ajili ya kutumiwa na vijana wa kizazi kingine. Vijana wengi matajiri pale Njombe wanatumia utajiri wa, miti iliyopandwa, na mababu zao.
Ndugu yangu mtoa, mada, usiwe mbinafsi kuogopa kifo , kwani ukifa ww ndugu zako wataisha maisha mema na mazuri.Ubinafsi umewajaa watanzania. Hatutaki kuwapigania wabongo na vizazi vijavyo kwa kuogopa kufa.
Ndio hivyoHuo ni uamuzi wako hakuna anaekufosi.
Ndio maana yake siwezi Fanya huo ujinga wakati nyie wazee mlizubaa nchi ikatafunwa Mimi sio mjinga nife Ili jitu lingine lile keki ya taifaNimeshauri wewe uendelee kula Ubwabwa maana unaishi ili ule.
Hamna uhuru aliopigania Nyerere wewe hujielewi unavyojiona hapo uko huruNyerere alipigania uhuru,ili iweje.... kwanini asingejiepusha na athari ambazo unadhani zingempata?
Kwahiyo ni bora ufie kwenye Mbunye kuliko kupigwa risasi na FFU?Ndio hivyo
Ndio walivyo wajinga sana hawa wazeeUjanani kwao wale rahaa afu saiv wanajidai wazelendo ..naunga mkono hoja
Ndio maana yake sifanyi huo ujinga mimiKwahiyo ni bora ufie kwenye Mbunye kuliko kupigwa risasi na FFU?
Yaani ni wajinga sanaNa mimi nakazia, babu zetu waliopigania uhuru walifanya jambo la kijinga sana, wametuletea balaa ya hili joka la kijani CCM.
Kila la kheriNdio maana yake sifanyi huo ujinga mimi
miaka 40 baadae na wewe utakua mzee...Utaandamana wewe Sina huo ujinga mimi
Umefanya kazi Gani wewe kiazi mpaka sawa hiviMtoto wa single mama wewe kula kulala. Wewe lala wanaume wafanye kazi wamletee bimkubwa posho ule vizuri.
Wewe mbona huandamaniMACHAWA huwa hawaandamani.
Hata huko Kenya siyo Gen Z wote wanaoandamana ..... Wewe kaa tu nyumbani waachie wenye GUTS....!!
Sifanyi huo ujinga mimi kufa Kwa ajili ya jitu lingine liishi vizuri baadaemiaka 40 baadae na wewe utakua mzee...
What goes around comes around
Ungekuwa mjinga ningeshangaa ila nashangaa ulivyozaliwa mtu badala ya nguruwe 🐖!Ndio maana yake sifanyi huo ujinga mimi
We kiazi kweli hivi Kwa akili Yako Nyerere alipigania uhuru hivi mitanzania Haina akili yaani we maiti hapo unajiona upo huruKwa hiyo Nyerere na Wapigani uhuru wenzake wangekuwa na mentality hii ina maana tungekuwa tunatawaliwa bado.
Maendeleo unayoyaona Marekani, Ulaya huko Asia hayajakuja hivi hivi kuna watu kibao walipoteza wapendwa wao hadi hizo nchi zimesimama hivyo.
Hii ina maana kuna siku utaletwa muswada wanaume wote mtoe ndogo angalau mara moja kwa mwezi kwa nchi wa hisani, utakubali kwa kuwa ukiandamana utapigwa risasi?
Huwa naamini kitu kimoja kama huwezi kuwasupport basi angalau usiwavunje moyo.
Sijajua watu hapa Tz wanataka kuandamana kwa lipi, ila iwe iwavyo maandamano yanahitaji vijana werevu na wanaojitambua. Kwa uandishi huu tu, wala usipoteze muda na maandamano (hata yakija), waachie wenye akili mkuu.Yaani Mimi niandamane nipigwe risasi nife nizikwe nioze eti kisa Kuna mizee ambayo yenyewe enzi zao yalikua yamezubaa nchi ikatafunwa Sasa hivi yanasema vijana wa gen z andamaneni kwajili ya tanzania mnaumwa nyie wazee pambaneni na hali zenu kama maisha yamekua magumu kwenu hamna kijana ataemwaga damu yake Kwa ajili yenu lnatakiwa nyie ndio mfe mapema Ili vijana tuishi Sasa nashangaa mpaka Leo mpo hai wajinga nyie nione tena mnaweka vi nyuzi vyenu uchwara humu Kila mtu afe kivyake
Hicho chakula unachokula na kulala ni jasho langu, sema su nikate huduma hapo home kwenu uone kama hujapandisha mabega kwa njaa.Umefanya kazi Gani wewe kiazi mpaka sawa hivi
Mzee hamna mtu wa kuandamana kisa jitu jinga kama wewe uishi vizuri sifanyi huo ujinga milele kama maisha yamekua magumu kwako pambana na Hali yako hamna mtu wa kuandamanaHicho chakula unachokula na kulala ni jasho langu, sema su nikate huduma hapo home kwenu uone kama hujapandisha mabega kwa njaa.
Si unashiba bila kufanya kazi ndiyo maana unaropoka tu. Utaolewa kabla ya siku zako shauri yako.Mzee hamna mtu wa kuandamana kisa jitu jinga kama wewe uishi vizuri sifanyi huo ujinga milele kama maisha yamekua magumu kwako pambana na Hali yako hamna mtu wa kuandamana