Siwezi kuandamana hata siku Moja ni ujinga

Acha uoga siku ya kufa ipo na hujui utakufa lini,na utafia wapi,wewe amini unachoamini ila usipige promo kama wote wanafikiri unavyofikiri.Kifo kipo tu kiwe cha haki,cha kuonewa,ajali au maradhi kifo ni kifo tu.
 
Kufa Kwa ajili yan jitu jingine ni ujinga Wala sio ujasiri yaani unakula Shaba Ili jitu like kuishi vizuri miaka ijayo wakati wewe umeoza chini hivi hiyo ni akili au tope
 
Hakika.
 
Nakubali haswa kuwa wazee wet walikua mbumbumbu kama wewe ulieshiba chapati mbili ukaridhika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…