Siwezi kulazimisha furaha ambayo sina,nahitaji faraja zenu Kaka na dada zangu

🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ushauri umetoa na kichambo umekula🤣🤣🤣🤣🤣
Pole mdogo wangu!!!
 
Amini unachoamini usiidanganye akili yako
Kama ni kweli basi pole. Jaribu kupuuzia baadhi ya mambo ili kujiepusha na msongo wa mawazo. Hasa hizi social networks jaribu kujitenga nazo kwa muda zinaongeza mfadhaiko. Imagine unakutana na picha au au tukio watu wanapendana wanakula maisha ww upo hoi huelewo ushike lipi Kila kitu kipo vuruvuru lazima ubongo uzidi kichanganyikana. Humu vingi ni maigizo usivitilie manani sana. Njoo pm nikupe neno kidogo mama
 
Rudia kusoma naomba ushauri ni biashara gani naweza fanya Kwa kiasi kidogo nilichodunduliza ww unakuja kushambulia muonekano
 
Asante sana Kwa ushauri mengine ongea hapa hapa
 
Mbona kama wajijibu mwenyewe
Hujui kitu Mamie,.
Niliipenda picha ya miguu yake na nikamwomba hapahapa jukwaani nitumie na Mimi kama Avatar yangu,


Hata weye kama una kapicha kako kazuri nipee tu nitakuweka kwenye profile yangu Wala sina baya🥰🥰
 
Hujui kitu Mamie,.
Niliipenda picha ya miguu yake na nikamwomba hapahapa jukwaani nitumie na Mimi kama Avatar yangu,


Hata weye kama una kapicha kako kazuri nipee tu nitakuweka kwenye profile yangu Wala sina baya🥰🥰
Oooh nimeelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…