‘Siwezi kulea mama mwingine, wakati wa kwangu nilishazika’. Kauli ya mke wa Jamaa!

Mwenye kipato nyumbani hapo ni nani?

Mwambie jamaa yako hana mke na amuache mara moja!
 
Lazima kuna sababu yaani from nowhere mtu hawezi kufanya hivyo. Atuambie mwanzoni ilikuaje
 
Wasipoelewa hapa basi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tembea kwa watu uone. Kuna watu wako na hela ila wana roho mbaya na uchoyo wa asili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iyo ni tabia tu
 
Tatizo mnaturoga sana ili mtushike

Utakuta mwanamume mmoja anarogwa na mke wake na michepuko yake hiyo akili itatoka wapi?
Sa huoni umependa mwenyewe kurogwa. Michepuko umetafuta mwenyewe. Hlf unalaumu wanawake...akili gani hizo
 
Sa huoni umependa mwenyewe kurogwa. Michepuko umetafuta mwenyewe. Hlf unalaumu wanawake...akili gani hizo
Mwanamume rijali hawezi kuridhika na tamu moja.

Halafu hii style yenu ya kuvua chupi halafu unachujia chai anayokunywa mwanaume naona ndo inatuharibu akili sana maana inatrend sana kwa sasa. Sijui mganga gani kawafundisha hii 🤔
 
Mbona kauli ya kikatili hivyo? Aisee kuondokewa na mama alipaswa ampende na kumspoil mama mkwe maana ndo mama aliebaki angalau angempa faraja
 
Mwanamume rijali hawezi kuridhika na tamu moja.

Halafu hii style yenu ya kuvua chupi halafu unachujia chai anayokunywa mwanaume naona ndo inatuharibu akili sana maana inatrend sana kwa sasa. Sijui mganga gani kawafundisha hii 🤔
Nini chupi, tunachujia kwenye pedi used.
 
Ni hiyo unayoifahamu wewe. Wengine tunafurahia ndoa zetu.
 
Kusemaje tena?hilo ni jini..ni kupiga chini ..hakuna option
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…