Dr Count Capone
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 1,878
- 3,263
Mwenye kipato nyumbani hapo ni nani?Wakuu,
Hiyo Ndio kauli ya mke wa mshikaji wangu aliyoitamka baada ya jamaa kwenda kumpokea mama yake mzazi stendi!
Kilichofuata ni visa sarakasi hadi Mama mtu kaomba nauli na kurudi zake kwake. Jamaa kajiona powerless hovyo na kaaibika vya kutosha Sasa anaomba ushauri kwenu afanye nini!
Wana Watoto watatu pamoja na mmoja bado ananyonya!
Binafsi nimemshauri kwamba hapo hana mke avumilie Mtoto akue akaanzishe Maisha mapya
Wadau mnasemaje?
Mwambie jamaa yako hana mke na amuache mara moja!