‘Siwezi kulea mama mwingine, wakati wa kwangu nilishazika’. Kauli ya mke wa Jamaa!

‘Siwezi kulea mama mwingine, wakati wa kwangu nilishazika’. Kauli ya mke wa Jamaa!

Wakuu,

Hiyo Ndio kauli ya mke wa mshikaji wangu aliyoitamka baada ya jamaa kwenda kumpokea mama yake mzazi stendi!

Kilichofuata ni visa sarakasi hadi Mama mtu kaomba nauli na kurudi zake kwake. Jamaa kajiona powerless hovyo na kaaibika vya kutosha Sasa anaomba ushauri kwenu afanye nini!

Wana Watoto watatu pamoja na mmoja bado ananyonya!

Binafsi nimemshauri kwamba hapo hana mke avumilie Mtoto akue akaanzishe Maisha mapya

Wadau mnasemaje?
Mwenye kipato nyumbani hapo ni nani?

Mwambie jamaa yako hana mke na amuache mara moja!
 
Hiyo kauli ni zaidi ya kuomba talaka ambapo sio jambo la kawaida kutolewa na mtu mwenye akili timamu.
Kuna mawili:
  • labda amekuchoka na anataka talaka au
  • Yeye ndiye analisha familia (si unajua baadhi ya wanawake walivyo) anaona unamuongezea watu
Mwisho; Nahisi huyo mwanamke ana msongo wa mawazo hivyo nastahili kupelekwa kwa dactari wa Ushauri au Mchungaji/Sheikh kwa maombi
Lazima kuna sababu yaani from nowhere mtu hawezi kufanya hivyo. Atuambie mwanzoni ilikuaje
 
Sababu ni hii.

Mara zote mume hayupo karibu na familia ya mke, yaani sio lazima afatane nao. Ila mke anatakiwa awe karibu na mama mkwe, mawifi...tena awe mchangamfu ,awapende na kuwajibika kwao.
Yaani mke amelazimishwa awe karibu na mama mkwe na mawifi kwasababu tu kaolewa huko,halafu unakuta imetokea hawapatani kwa sababu mbali mbali.

Ni kama vile ulazimishwe kuishi na watu ambao wewe hujachagua kuishi nao, na sio ndugu zako.

Wazazi waache kiherehere cha kwenda kukaa kwa watoto wao bila sababu ya msingi. Waende mara chache na wasikae sana maana lazima wataboa.

Mzazi aishi na nyie kama kuna sababu inayoeleweka kama vile ugonjwa au nyingine ambayo imebidi.
Tuwaache watoto waishi maisha yao...kuzoeana sana lazima kutaleta maneno.
Wasipoelewa hapa basi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo ni shida ya kuoa au kuolewa na maskini, maskini akipata mgeni wakati wakula anaona mgeni anamalizia chakula chake au bajet yake, kwa tajiri akitembelewa na mgeni wakati wakula kwao huona kama baraka kuwa na mgeni na kujumuika pamoja wakati wakula
Tembea kwa watu uone. Kuna watu wako na hela ila wana roho mbaya na uchoyo wa asili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo ni shida ya kuoa au kuolewa na maskini, maskini akipata mgeni wakati wakula anaona mgeni anamalizia chakula chake au bajet yake, kwa tajiri akitembelewa na mgeni wakati wakula kwao huona kama baraka kuwa na mgeni na kujumuika pamoja wakati wakula
Iyo ni tabia tu
 
Tatizo mnaturoga sana ili mtushike

Utakuta mwanamume mmoja anarogwa na mke wake na michepuko yake hiyo akili itatoka wapi?
Sa huoni umependa mwenyewe kurogwa. Michepuko umetafuta mwenyewe. Hlf unalaumu wanawake...akili gani hizo
 
Sa huoni umependa mwenyewe kurogwa. Michepuko umetafuta mwenyewe. Hlf unalaumu wanawake...akili gani hizo
Mwanamume rijali hawezi kuridhika na tamu moja.

Halafu hii style yenu ya kuvua chupi halafu unachujia chai anayokunywa mwanaume naona ndo inatuharibu akili sana maana inatrend sana kwa sasa. Sijui mganga gani kawafundisha hii 🤔
 
Mbona kauli ya kikatili hivyo? Aisee kuondokewa na mama alipaswa ampende na kumspoil mama mkwe maana ndo mama aliebaki angalau angempa faraja
 
Mwanamume rijali hawezi kuridhika na tamu moja.

Halafu hii style yenu ya kuvua chupi halafu unachujia chai anayokunywa mwanaume naona ndo inatuharibu akili sana maana inatrend sana kwa sasa. Sijui mganga gani kawafundisha hii 🤔
Nini chupi, tunachujia kwenye pedi used.
 
Ni hiyo unayoifahamu wewe. Wengine tunafurahia ndoa zetu.
 
Wakuu,

Hiyo Ndio kauli ya mke wa mshikaji wangu aliyoitamka baada ya jamaa kwenda kumpokea mama yake mzazi stendi!

Kilichofuata ni visa sarakasi hadi Mama mtu kaomba nauli na kurudi zake kwake. Jamaa kajiona powerless hovyo na kaaibika vya kutosha Sasa anaomba ushauri kwenu afanye nini!

Wana Watoto watatu pamoja na mmoja bado ananyonya!

Binafsi nimemshauri kwamba hapo hana mke avumilie Mtoto akue akaanzishe Maisha mapya

Wadau mnasemaje?
Kusemaje tena?hilo ni jini..ni kupiga chini ..hakuna option
 
Back
Top Bottom