‘Siwezi kulea mama mwingine, wakati wa kwangu nilishazika’. Kauli ya mke wa Jamaa!

Katika jambo ambalo Mama yangu alikataa ni kujakuja kwangu na mke wangu.
Ila siku nilitiwa ndani na Mke nilipotoka polisi alinisindikiza niondoke kabisaaa kwangu niachane nae hata km tuna katoto kachanga,alifight nichukue mashati mawili tu na suruali nikaanze 1.
Wala haikua tabu.mpk leo nakaa na mabinti kwa akili kubwa sana,
Yaani bussy but available 100%.
Single faza
 
Upo sahihi kabisa mkuu, wengine wazazi wakiomba elfu 20 wanalalamika wazazi wasumbufu ila Ke akiomba 50K anapewa na ziada kiroho safi alafu mambo yakianza kuwaendea vibaya waseme wamerogwa.

Mbaya zaidi mambo yakizidi kuwa magumu wa kwanza kukimbia na kuonesha dharau ni hawa hawa aliokuwa akiwapa full support na kuona wazazi kama wasumbufu. Mwisho wa siku hali ikiwa mbaya kabisa wa kuwafariji ni wazazi ambao hakuwa anawapa umuhimu.
 
Ilikuaje ukawekwa ndani? Mkeo alihusika
 
Uzuri wa mtu mbinafsi hajifichi hata akijitahidi kuuficha uhalisia wake ni ndani ya muda mfupi sana. Yani tumekutana ukubwani kama ndevu niache kuwajali wazazi kisa kuifurahisha mbususu ni ujinga wa kiwango cha lami. Labda nirogwe
Jana kuna mmoja nimezinguana naye usiku mpaka kaomba msamaha. Alitaka atumie mbususu yake kama silaha

Asubuhi kanitext na shida zake hata hajaanza na salamu nikachuna sijamjibu mpaka night

Usiku akanitext tena "vibaya hivyo D" nikasema sasa ngoja nimfundishe adabu nikamtext "mambo" akaitikia "poa"

Halafu nikamwambia kwa meseji nimeanza kwa salamu "mambo" ili ujifunze kitu kujuliana hali muhimu

Nikamchunia baadaye mwenyewe akanipigia akaongea halafu akaniambia "Je, ningekuambia nina nyege ungenijibu hivyo?" Akimaanisha kuwa mimi ni mdhaifu kwa papuchi yake kwamba ningepotezea hata kama hakuanza na salamu

Nilikasirika mamamae nilimchana yule mwanamke nikamwambia hiyo kwangu sio kitu kigeni na mimi sio mdhaifu wa hiyo K yako. Nilimsema mpaka akaanza kujiliza

Kakajiliza hapo akaomba msamaha "unajua wakati mwingine D kupitiwa tu I'm very sorry." Baada ya mazungumzo akanitumia viemoji vyake vya ❤️❤️❤️

Najua sina demu wa maana hapo acha nile mbususu nikimchoka 🚮
 
Mwanamke wa hivyo sio, mimi huwa nawangojea kwenye line of weakness najua atakuja tu. Ke anakutaftia shida, hata bila salamu yeyote bado ukimtolea nje anakupa maneno ya dharau na kejeli alafu huyo huyo anataka mjenge malengo ya kifamilia kuishi pamoja.
 
Ndoa ni tamu, tatizo za siku izi zinaharibiwa na hii generation ya usawa 50 kwa 50. wanawake wamekuwa wabinafsi, mwanamke ukimpenda sana nayo ni tatizo. ivi vichwa alivishindwa Samson kwa dellila
 
Hii inadhihirisha wanaume hatuna roho mbaya, tunakaa na mama zenu,tunaacha pesa za matumizi bila kinyongo na maisha yanaenda saaafi kabisa, lakini wanawake walio wengi wana roho mbaya, yaani anakuja mama yangu mzazi eti unatoka mishipa kabisa kuwa HAUMTAKI,who are you by the way?

Pesa ya matumizi natoa mimi,nyumba nimejenga mimi,nimekutoa kwenu na kukuleta nyumbani kwangu tujenge familia unakuja na kutaka kunitawala Mimi na wazazi wangu? Like serious????
 
Huwezi sema ana nguvu kiuchumi iwapo jambo jepesi kama hilo hana meno ya kulitafuna.

Mkewe kamzidi nguvu ndo maana anampangia hata kuhusu mama yake mzazi.

Wanaume tuna tabia ya kuvimba, mke akinunua gari tunasema "nimemnunulia wife gari".

Hakuna mwanaume mpole kwenye jambo la msingi, anafanyaje maamuzi muhimu?
 
Huwa wanakuja tu jana katuma vile viemoji vyake vya makopakopa sikumjibu leo asubuhi kaanza na salamu "morning D"

Kweli kabisa. Hawa manzi ni wa kuwa nao makini sana hasa wanaofikiria kuoa.

Sasa kama huyu manzi ni ile aina ya wake wanaowanyima waume zao mbususu kama njia ya kuwaadhibu

Huyu sio wa kufanya naye maisha ila kwa atakayeoa shape na mwonekano kapata mke mwenye mvuto but beauty with stupidity
 
Hawa viukbe ,ke Ni shida Kuna jamaa angu nae wameachana na demu wake kiss mama ake jamaa kuwa mgonjwa ,mwanake anawaza je nikiolewa na huyu jamaa c nitatakiwa kulea mama ake na kuangaika nae had mwisho

Demu alifikiria akaone siyo ishu huyo kasepa zake

Hawa wanawake Ni kuwa nao kwa makini ukiweza kumzalisha mwanamke Kam unaona magumashi ingia mitini

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Vipi akiwa ni Mama yako wewe,
Utakaa nae pia au ndio Wanawake hawapikiki chungu kimoja?
 
Kama ametamka hivyo basi hata wewe bwana kuna siku atakuondoa katika uso wa dunia. Ladda wewe bwana umeolewa, namaanisha umehamia kwenye nyumba ya mwanamke. Kama sivyo huyo mtoto akikuwa "FUKUZA".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…