‘Siwezi kulea mama mwingine, wakati wa kwangu nilishazika’. Kauli ya mke wa Jamaa!

hapa ukichunguza sana utaona jamaa hana mpunga.
 
"Mwisho wa siku hali ikiwa mbaya kabisa wa kuwafariji ni wazazi ambao hakuwa anawapa umuhimu."

Mke hawezi kukujali kama wazazi wako hata siku moja.

Mke anaweza kukimbia ukipoteza kazi, ukafilisika, ukapata ugonjwa au ulemavu wa kudumu.

Ila wazazi hasa mama atakupenda, kukutunza na kukufariji hata kama kipato chake ni kidogo

Hawa wanawake ni marafiki wa ukubwani tu wapo wengi akizingua utapiga chini ila wazazi hawana mbadala
 
Ni kuishi nao kwa akili kama tulivyoambiwa kwenye maandiko. Uzuri na mvuto vina muda ila utu na akili ni muhimu hata kwa faida ya wanao.
Ke akishaanza kuonesha dalili za kukunyanyasia utelezi na ndio kwanza ni mahusiano tu ukiingia nae ndoani ni mateso matupu.
 
Mwambie apambane na mkewe tu hana namna, sijui walikutana wapi
 
Upo sahihi mkuu tuishi nao kwa akili sana vinginevyo ni maumivu
 
Exactly wa aina hii ni wale wa kuwachezea na kuwadump sio wa malengo

Hata kwa sisi wa KATAA NDOA wa aina hii sio wa kumzalisha alee watoto wako
 
Really!
Yaani huwezi kuishi na Mama yako Mzazi!
I'm sorry but that's weird
Soma uelewe hakuna sehemu nimesema siwez ishi na mama mzazi. Nimesema hawezi hamia kwangu mwenyewe hapendi hiyo tabia, ana kwake anaishi zake huko. Wazazi waje kusalimia warudi makwao labda kama kuna sababu tofauti sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeongelea kiujumla mkuu hata kuna wanaume pia hawapendi ndugu wa mke na huo wote ni uchoyo tu
 
Ni kumsamehe tu,nadhani ni muathirika wa malezi aliyopitia baada ya mama yake kuaga dunia.Wengi wamepitia katika mikono ya kina mama ambao walishindwa kuwatendea mema na huvyo kuona kuwa mama ambaye si wako si mama.
 
Nimeongelea kiujumla mkuu hata kuna wanaume pia hawapendi ndugu wa mke na huo wote ni uchoyo tu
Wanaume wachache sana wanaweza kuwafhukia wazazi wa mke, lakini ni wanawake wachache sana wanaweza kuishi na wazazi wa mume bila vitimbi...
 
Kweli kabisa watu tu hapa wanajifanya wakali wakati kiuhalisia huwa tunaona wake wanawanyanyasa mama zao na hawana say yoyote wanakuwaga mama wamerogwa
Na kweli mnaturoga sanaaaa, yote hiyo ni kutafuta kutu-control sisi na hela zetu...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…