Na kweli mnaturoga sanaaaa, yote hiyo ni kutafuta kutu-control sisi na hela zetu...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na kuna wanaume hapa hapa wananyanyasa kuanzia wake zao had ndugu wengine ila wapo kuwa wakali hapa. Nawacheki tu. Mtaani tunaishi nao tunawaona ila wakija JF wanajikuta wao ndio wana upendo na watakatifu sana wakati nje huko hawafai kwa roho mbaya.Kweli kabisa watu tu hapa wanajifanya wakali wakati kiuhalisia huwa tunaona wake wanawanyanyasa mama zao na hawana say yoyote wanakuwaga mama wamerogwa
Nyie mkiwa na akiliWaolewaji ndio hawana akili toka pale eden mpaka karne ya 21
Na kuna wanaume hapa hapa wananyanyasa kuanzia wake zao had ndugu wengine ila wapo kuwa wakali hapa. Nawacheki tu. Mtaani tunaishi nao tunawaona ila wakija JF wanajikuta wao ndio wana upendo na watakatifu sana wakati nje huko hawafai kwa roho mbaya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo hakuna mke aisee! Huyo bado ni bachelor boy. Mwambie akatafute mke aoe haraka kabla umri haujaenda.😨😨😨Wakuu,
Hiyo Ndio kauli ya mke wa mshikaji wangu aliyoitamka baada ya jamaa kwenda kumpokea mama yake mzazi stendi!
Kilichofuata ni visa sarakasi hadi Mama mtu kaomba nauli na kurudi zake kwake. Jamaa kajiona powerless hovyo na kaaibika vya kutosha Sasa anaomba ushauri kwenu afanye nini!
Wana Watoto watatu pamoja na mmoja bado ananyonya!
Binafsi nimemshauri kwamba hapo hana mke avumilie Mtoto akue akaanzishe Maisha mapya
Wadau mnasemaje?
Wazazi wake wameshindwa niwe Mimi. Au wazazi wake nao hawana akiliNyie mkiwa na akili
Automatic mtawashape hao wanawake zenu kuwa mtakavyo.
Ila mkikosa
Ndio daily mnaleta nyuzi huku
Wakuu,
Hiyo Ndio kauli ya mke wa mshikaji wangu aliyoitamka baada ya jamaa kwenda kumpokea mama yake mzazi stendi!
Kilichofuata ni visa sarakasi hadi Mama mtu kaomba nauli na kurudi zake kwake. Jamaa kajiona powerless hovyo na kaaibika vya kutosha Sasa anaomba ushauri kwenu afanye nini!
Wana Watoto watatu pamoja na mmoja bado ananyonya!
Binafsi nimemshauri kwamba hapo hana mke avumilie Mtoto akue akaanzishe Maisha mapya
Wadau mnasemaje?
Kataa NdoaWakuu,

Kuna ness jirani hapa alikuwa anafunga milango yote anamwacha kibarazani mama makwe then kuonana jioni ...so yule bibi alikuwa na Milo miwili nayo hatujui kama ilikuwa Inatimia chai na msosi usiku
Wamejenga mume na mkeDaaah Hatare nyumba nimejenga mm baba. Kisha mama yangu afungiwe nje mpk mkwe arudi kazini. Hii n zaidi ya hatare.
Kabla ya yote akubali kwamba, hata mama yake hatatakiwa kukanyaga kabisa nyumbani kwetu. Kisha kila mmoja wetu atajua ni namna gani anamsaidia mama yake.Huwezi lazimisha mtu apende mama yako mkuu
Kwahiyo hata mama yako hauwezi kupatana nae? Maana nae ni mwanamke mwenzio.Ni kweli lakin wanawake huwezi waweka pamoja wakapatana wale ni fahar wawili ,
Ni makosa ya Mungu kuumba kiumbe kisicho na akili. Sa tufanyeje na tayari tumeshaumbwa hivyo. Mnatulaumu bure tu...hatuna uwezo wa kujibadilisha.Waolewaji ndio hawana akili toka pale eden mpaka karne ya 21
Mungu aliwaumba mmekamilika sema mkachagua upotevu na kumsikiliza Lucifer hata leo hamjaacha mnaongoza kwenda kwa waganga na manabii fekiNi makosa ya Mungu kuumba kiumbe kisicho na akili. Sa tufanyeje na tayari tumeshaumbwa hivyo. Mnatulaumu bure tu...hatuna uwezo wa kujibadilisha.
Mtoto isiwe silaha ya kulea ujinga kwenye mahusiano.Kwa hii kauli, nahisi wewe ndio muhusika.
Brother, mke akiongea huo upuuzi kuhusu mama yangu, hata kama ndio ametoka leba nusu saa lililopita, ANAONDOKA NA ATASINDIKIZWA KWA MAKOFI!
Lucifer mwenyewe kaumbwa na Mungu. Halafu iweje tuwe na tabia zilizofanana? Ndivyo tulivyoumbwa.Mungu aliwaumba mmekamilika sema mkachagua upotevu na kumsikiliza Lucifer hata leo hamjaacha mnaongoza kwenda kwa waganga na manabii feki