Tetesi: Sixtus Mapunda Akamatwa na TAKUKURU

Status
Not open for further replies.
Yaani unairuka ile haja inayotokea mbele halafu unaikanyaga ile inayotokea nyuma!!!, wanasema CCM mbovu halafu mbadala wake ni watu wale wale waliokulia humo humo kwenye chama. Hizi akili zipo Tanzania peke yake.
Ccm ni majizi tu
 
Ndugu yangu millioni saba ni pesa nyingi,hata kama ungechangiwa ikapatikana ni afadhali hyo hela ikatumika kununua madawati wanetu wakasomea,si lazima katika kujadili mada utaje majina au kutumia kauli kali zitakazokuletea matatizo.Uungwana sio uoga,huu utawala hauna simile shauri yako.
 
Ccm ni majizi tu
Ila wanapotoka CCM na kuhamia CHADEMA wanatakaswa na kufananishwa na malaika, wakati hao wanaowatakasa waliwaita mafisadi. Bahati mbaya kama kuna ulaji wowote uliowafanyika mpaka gia ikabadilishiwa angani, basi wanaofaidika ni wachache sana na jina la Mmawia wala halimo na sidhani kama linajulikana.
 
haha tunaitaka hiii mahakama ifanye kazi yake bila upendeleo
 
hakuna fisadi atakayebaki salama mbona kitwanga na Lugumi wanapeta mtaani au ule si ufisadi
 
Ccm ni majizi tu ...period
 
LUGUMYA JE?
 

Wote tu ccm genge la mafisadi. atafikishwa mahakamani na hakuna kitakachoendelea.
 
haha tunaitaka hiii mahakama ifanye kazi yake bila upendeleo
Tone ya JPM anapoongelea masuala ya ufisadi, ni kali na isiyo na masihara hata kidogo. Ukosefu wa uaminifu na tabia ya upigaji iliyoachwa ikaota mizizi katika awamu ya nne, ni vitu ambavyo kwa sasa ni sababu kubwa ya baadhi ya watu kupata magonjwa ya moyo.
 
Siku zote tunasema

CCM ndio wezi wa nchi hii

wameifilisi na wanaendelea kuifilisi

CCM yenyewe kama chama wameiba mali za umma...sembuse individuals

Ili nchi hii ipone inabidi CCM itolewe madarakani
hapana..ijisafishe. siku zote unafiki ni sehemu ya siasa ndio maana kuna ufisadi mkubwa cdm. ruzuku inaliwa yote kijanja na wajanja.
 
Ccm ni chuo cha kuzalisha majizi na mafisadi.Hawa watu wanaiba mpaka wanakatisha tamaa
 
Hiyo ' My take ' yako ni uongo .
 
Wezi wote wa mali za C CM watakuwa huru kupitia mahakama kwani CCM mali nyingi sio zake bali ni za waTZ wote hivyo basi yeye hana haki ya kuwa mlalamikaji, naona kama wanataka kulainisha kazi iwe nyepesi
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…