Tetesi: Sixtus Mapunda Akamatwa na TAKUKURU

Status
Not open for further replies.
Lugumi hawajamuona??

Alienunua MV.Bagamoyo na Yule aliyeuza nyumba za serikali kwa bei za nyanya na nyingine kuwapa mahawara wake siku akikamatwa ndio nitaamini kweli chini ya magufuli hakuna fisadi atakaesalia.
 
Acha wafu wazike wafu wao Na huko mbeleni watakosa Wa kuzikana ccm yote inanuka ufisadi sijui Nani atabaki salama
 
Adharusi unasema Bavicha wameiba milioni kumi? wapi? Uchunguzi wa polisi umesema ni Bavicha wameiba? kesi imeamuliwa wapi?

Sisi hapa tunaongelea majizi ya CCM I mean UVCCM ...wanaostahili kuwa candidates wa kwanza wa mahakama ya majizi ..a.k.a CCM

Wezi wakubwa nyie CCM...Shame on you...look at you ...hata aibu hamuoni wezi nyie
 
Hapana Shaka wewe utakuwa mwendesha bodaboda uliyempigia kura Lowasa
Mwendesha bodaboda siyo mtu/binadamu au hiyo siyo kazi!?
Kama yeye anaendesha bodaboda na anaishi tatizo liko wapi? Na bodaboda ni kazi halali kabisa ambayo inachangia uchumi wa taifa.
Tuache ushamba.
 
Hivi wale vijana wa bavicha walioiba milion 10.. Wamefikia wapi, hizi ni dalili mbaya, kama hiki kidogo walichonacho wanaiba je, wakiwa na uwezo mkubwa itakua hatari
 
Hivi wale vijana wa bavicha walioiba milion 10.. Wamefikia wapi, hizi ni dalili mbaya, kama hiki kidogo walichonacho wanaiba je, wakiwa na uwezo mkubwa itakua hatari


Yaani CCM watoto wadogo wezi....mmeiba milioni 200 ....nyie ccm majizi sana...tena sana
 
atatumbua sana ila kuna sehemu hatazigusa kabisa wala kuzizungumzia,moja wapo hilo na uuzwaji nyumba za serikali hutakuja hata kumsikia akizungumzia kokote
Nyumba za Serikali alishazungumzia, Sumaye, Mwenyekiti mtarajiwa wa chadema, Jimbo la mashariki
(Kanda)
 
Lowasa Alipataje hizo Ranch na maelfu ya ng'ombe, shares nyingi za voda, viwanja Dar na Mali kemkem ambapo yeye sio mfanyi biashara na hakuachiwa urithi na baba yake.
 
Siku zote tunasema

CCM ndio wezi wa nchi hii

wameifilisi na wanaendelea kuifilisi

CCM yenyewe kama chama wameiba mali za umma...sembuse individuals

Ili nchi hii ipone inabidi CCM itolewe madarakani
FULLSTOP
 
Mpaka nione huyo Sixtus Mapunda anafika anafikishwa mahakama ya mafisadi ndio nitaamini kama kweli CCM wanaweza kumshtaki kada mwenzao tena mbunge?

cc: Lizaboni (kwa taarifa)
bc: #Luhwavi (aione)
 
Lowasa Alipataje hizo Ranch na maelfu ya ng'ombe, shares nyingi za voda, viwanja Dar na Mali kemkem ambapo yeye sio mfanyi biashara na hakuachiwa urithi na baba yake.
Wakati anavipata alikuwa chama gani?
 
Mbona hawakamatwi na TAKUKURU?
 
Mnakamata vijizi vidogovidogo lakini majizi makubwa kama Lugumi yanakunywa kahawa na kujipongeza huku mnunuaji wa kivuko kibovu anasema analala nao mbele kwa mbele..imbombo ngafu.
Je kivuko ni kibovu au miundo mbinu ya kukifanya kifanye kazi ndio haipo?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…