Siyatambui mapinduzi Guinea, Rais Conde namtambua kama Rais bado waliomteka nyara wamrudishe upesi

Nakuunga mkono mleta mada na yeye huyo Mamady afurushwe tu.Raisi gani mweusi Kama pampu mpya hatumtaki.
 
Kikubwa zaidi huenda ni shoga zoefu
 
We nani mpaka usiyatambue
 
Hayo hutokea,hasa kiongozi aliyepo madarakani akizingua.
Kwa Afrika tutarajie mengi zaidi
ya haya,maana kuna uvunjwaji
mkubwa wa katiba unaofanywa
na wenye dhamana.
Mengine hutokea kimya kimya
na kistaarabu,lkn yote ni mapinduzi.
 
Stress za maisha zinaweza kukutuma ukafanya vitu vya ajabu sana😂😂😂
Kwa taarifa yako umoja wa Afrika, umoja wa Ulaya, Marekani na jumuiya ya nchi za Africa Magharibi wamelaani Mapinduzi hayo na hawamtambui huyo jambazi Mamady Doumbouya
 
wewe hata sisi hatukutambui acha shobo sio umeshiba makande unajiandikia andikia tuu
 
Anakumbuka sasa ningetenda haqi Urais Usinge niponyoka![emoji56][emoji56]
duu majuto ni mjukuu[emoji24][emoji24][emoji24]
Basi tena yaliyo pita si ndwele ganga yajayo kama huko uliko ficha upo Hai[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ulitaka uletewe maiti kama ushahidi??
 
Kwenye katiba ya Guinea hiyo statement haimo. jeshi halitajwi kama njia mojawapo ya kumuondoa Raisi madarakani. hilo Jambazi Mamady Doumbouya lazima lifungashwe virago
Mbona wameifuta hiyo katiba aliyo ifanya kama hirizi?!
 
acha bange dada,we Kama Nani Sasa usipoyatambua yale mapinduzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…