Siyatambui mapinduzi Guinea, Rais Conde namtambua kama Rais bado waliomteka nyara wamrudishe upesi

This condemnation is just an academic as it cannot change anything on the ground. The die is cast, dictator Alpha Conde cannot regain the power he has lost.

He forced his way into the state house last year after bribing members of parliament to change the constitution so as to allow him to run for the third term in office against the popular wishes of the majority of the Guineans.

Whatever the UN position in regard to the coup, the bitter fact is that the majority of the people of Guinea are firmly behind the coup and are anxiously awaiting a transition to true democracy that the ousted dictator Conde has decimated.

Let us take this opportunity to loud the coup plotters and wish the country all the best in securing a democratic Guinea that we, Tanzanians, can emulate.
 
Time will tell

Mamady Doumbouya must go no way. Constitution of Guinea should be respected not the army thugs like Mamady Doumbouya and his team of thugs
 
Jumuiya ya Africa Magharibi ya ECOWAS wameisimamisha uanachama Guinea kupinga hayo mapinduzi
hiyo jumuiya iliyopinga hayo mapinduzi ni kama kikundi Cha wazee wa msimbazi kujadili timu Kwa mbwembwe huku wakinywa kahawa na kashata bila kua na msaada wowote
Kiufupi wanapiga kelele za mbwa Koko na hakuna kitu watamfanya Mamady Dombouya make my word utaona
Conde ndo basi Tena asisahau ikulu na iwe fundisho Kwa Serikali ya CCM kwamba muda wowote inaweza tokea kitu chochote wasidhani Kila jogoo akiwika ni asubuhi
Kalagha bhaho!
 
Mmmh
 
Kazi kubwa ya Jeshi ni kulinda wananchi dhidi ya Maadui wa Nje na wa Ndani.Rais na Bunge la Guinea walikuwa adui wa wananchi.

Mwamba atawavusha.
 
Wanaokula hivyo hawali kwa kupenda.

Heshimu maisha ya watu....
 
Mapinduzi yaliyomuondoa Sultan Jamshid pale Zanzibar na kuzaa Serikali iliyopo mpaka Leo yaliandikwa kwenye katiba?
 
Mapinduzi yaliyomuondoa Sultan Jamshid pale Zanzibar na kuzaa Serikali iliyopo mpaka Leo yaliandikwa kwenye katiba?
Katiba ilikuwepo vizuri waliyoandikiana Sultan mkoloni wa kiarabu na mwingereza mkoloni mwenzie

Waswahili haikuwa yetu ndio maana tukabeba marungu na mapanga kumkimbiza Sultan na kilichotokea alikiimbilia uingereza kwa aliyemuweka kibaraka tukaweka katiba yetu hiyo isiyo yetu ya wakoloni wawili tukaitupa
 
Time will tell

Mamady Doumbouya must go no way. Constitution of Guinea should be respected not the army thugs like Mamady Doumbouya and his team of thugs
Watakachofanya ni kuunda hiyo serikali ya mpito ambayo itashirikisha wadau wote wa kisiasa nchini Guinea kabla ya kuandaliwa kwa uchaguzi huru na haki.

Najua maneno kama hayo ndio ambayo hamtaki kabisa kusikia kwa sababu nyie mumezoea dhuluma lakini huko wenzetu wana jeshi linalojitambua na lenye wazalendo wa kweli ambao hawadanganywi na ukuu wa mkoa au wilaya.

Ila huyo Alpha Conde yeye urais ndio hivyo tena asahau alitaka kuvuna pale ambapo hakupanda huo ujinga utafanyika tu huku Afrika Mashariki lakini sio Afrika Magharibi kwani kule jeshi haijui siasa.
 
Kazi kubwa ya Jeshi ni kulinda wananchi dhidi ya Maadui wa Nje na wa Ndani.Rais na Bunge la Guinea walikuwa adui wa wananchi.

Mwamba atawavusha.
Uongo kazi ya jeshi ni kulinda mipaka sio ndani hiyo kazi ya Polisi hilo Jambazi Mamady linatakiwa kuuawa
 
Huwezi kuongoza unavyotaka halafu wenye akili wakakuangalia tu.
Kiongozi anakuambia km hutaki hama nchi. Mother fanta
Uongozi wa kimabavu, kutofuata katiba na sheria lazima ufike Mwisho.
Hili ni pigo kubwa sana kwa wenye uroho wa madaraka. Naona CCM, Kagame na Museveni tumbo joto.
Sasa hivi kuna kibali cha ujenzi
  • Ukirekebisha mlango unatoa 50,000
  • Ukipaka rangi paa 100,000
  • Ukirekebisha dirisha 20,000
Mlango ninue mimi, nilipe gharama ya usafiri, fundi na nilipe tozo kwa ccm 50,000 ha ha ha
CCM mtuache tujenge makazi yetu. Nikirekebisha halafu uje unidai hela. Nitakuvunja mguu kbsa
Uongo kazi ya jeshi ni kulinda mipaka sio ndani hiyo kazi ya Polisi hilo Jambazi Mamady linatakiwa jeshi kuuawa
 
Ecowas sijui wanasubiri nini kumtia adabu huyo jamaa. Ila na Marais wa afrika waache uchu wa kutaka kutawala kwa muda mrefu
 
Kuna mkoloni mmoja hapa Afrika Mashariki amekwenda kuzimu ..Mungu ampe adhabu Kali sana huko aliko...alijiingiza madarakani bila kufuata hata katiba hiyo hiyo ya kikoloni iliyotungwa na watu Tisa..Mijitu kama Ile ni ya kuipindua na kuitia korokoroni tu. Yaani uwafanye wenzio wote mafala mjanja wewe tu.Aliekwambia kupindua nchi lazima uondolewe na jeshi Nani? HATA KIONGOZI akiingia madarakani kwa kubaka uchaguzi nae anakuakua amepindua mamlaka ya wananchi.

Mungu fundi sana...akammuvuzisha! Kwendraaaaaaaaa!
 
Mkuu hii ni kauli yako au ume quote kutoka kwa raia wa Guinea? Maana si kwa hisia hizi.
 
Mkuu hii ni kauli yako au ume quote kutoka kwa raia wa Guinea? Maana si kwa hisia hizi.
Huyo ni Kati ya watu ambao mpk sasa hawaamini kwamba kipenzi chao kilichoingia madarakani kwa mabavu 2020 hakipo tena duniani.
 
Anzisha petition.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…