Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Tena ni historia nzuri na kubwaBabu yangu Mzee Kamtawa aka Saidi TANU alikuwa Dereva wa Landlover ya TANU iliyopo pale Makumbusho
Tunajivunia sana hilo ๐๐๐
Sioni tatizo Gari ya Tundu Lisu kuwekwa Makumbusho nasi wenye Mapenzi mema tumeshamchangia ๐๐๐น
Nimelia sana!Ila Watanzania wakijitoa kumsaidia nongwa basi mnawashwa vinyeo. Jitieni dole mnuse wapumbavu ninyi.
Hakika Jo, ni mahaba tu,Askofu Dr Shoo kanunuliwa V8 brand new
Ni Ishara ya Upendo tu ๐น๐น
Landrover lina matundu ya Risasi?๐ผ.Babu yangu Mzee Kamtawa aka Saidi TANU alikuwa Dereva wa Landlover ya TANU iliyopo pale Makumbusho
Tunajivunia sana hilo ๐๐๐
Sioni tatizo Gari ya Tundu Lisu kuwekwa Makumbusho nasi wenye Mapenzi mema tumeshamchangia ๐๐๐น
Vijana wa CCM mna roho za ovyo. Mnataka kutaka kuwapangia watu nani asaidiwe na nani asisaidiwe?Nimelia sana!
Mkuu. Hongera. Naona kisasi kimekuwa cha hatari. Vipi hao wanaokutafuta nasikia wanaitwa ICC.Tena ni historia nzuri na kubwa
Sikutarajia itakuja siku utanitukana kiasi hiki๐คธIla akichangiwa Lissu basi mnapepeta midomo ka tausi malaya.
Sijatukana popote.Sikutarajia itakuja siku utanitukana kiasi hiki๐คธ
Lucas hana njaa ni PS yupo Mwanza kwenye kikao chao cha TAPSEA Ma-PS nchi nzima wapo kule, wewe unamchangia nini?Kumbe una akili! Ila unajitoa ufahamu
Aya leta hizo bukubuku tumnunulie lucas gari
BukuLucas hana njaa ni PS yupo Mwanza kwenye kikao chao cha TAPSEA Ma-PS nchi nzima wapo kule, wewe unamchangia nini?
Hawana madhara ni wapiga kelele tuMkuu. Hongera. Naona kisasi kimekuwa cha hatari. Vipi hao wanaokutafuta nasikia wanaitwa ICC.
Bima gani inakuwa valid kwa miaka 7 ? Hiyo gari ipo kituoni kuanzia mwaka 2017 September , ina maanisha bima yake ilikwisha siku nyingi sanaSwali ni kwamba,
Je kwa mfano sasa hivi Lisu akitaka kulitengeneza gari lake Bima itacover gharama kama wakati lilipotokea hilo tukio ilikua na bima?
Hili sio swali la kisiasa na ningependa lijibiwe na wataalamu wa masuala ya Bima tu.
Kwani wale wanaowachangia watarajiao kugombea nafasi za uongozi hata kabla muda wake haujafika na hawana uhakika wa kuteuliwa hawasemwi? Au kwa vile wanagombea nafasi za kisiasa? Kuchanga ni hiari wala si lazima. Kisha kuna watu wanabadilishiwa ma V8 kila leo wakati ni mazima kabisa nao unawaitaje?Wewe ndo una roho ya kimaskini๐ฎ
Unapenda kuchangiwa wakati unajiweza
Kama kuchangiwa ni hiari mbona mnaifanyia kampeni?
Tunawakumbusha watanzania wenzetu kua wanaibiwa akili kumkichwa!!
Watanzania bila kuwakumbusha akili zinakua zimelala
Usikute kuna mmoja katoka kuuza ng'ombe/kiwanja chake ili amtumie lissu hela
Kupitia post hii anaweza kughairi na hiyo hela akaitumia kupaua ghofu lake alilolitelekeza kwa kukosa hela ya kununua mabati.
Roho ya ushetani na umasikini tu inakutesaHao ni wezi!
Watanzania wengi walivyo mbumbumbu watachanga hela
Mwingine hata baiskeli hana ila atamchangia Lissu
๐ฎRoho ya ushetani na umasikini tu inakutesa
Analipwa night 6 x 120,000 = 720,000, njaa inatoka wapi?Buku
Mimi nimeuliza tu swali na ukilisoma kwa makini hasa second paragraph nimesema kua ''Kama lilikua na Bima wakati tukio hilo linatokea"Bima gani inakuwa valid kwa miaka 7 ? Hiyo gari ipo kituoni kuanzia mwaka 2017 September , ina maanisha bima yake ilikwisha siku nyingi sana
Lucas Mwashambwa ajanipa hizi taarifa nitakuamini vipiAnalipwa night 6 x 120,000 = 720,000, njaa inatoka wapi?
Usijali! Hamna tatizoSijatukana popote.
Kiukweli ni vile tu sipendezwi na roho mbaya na upuuzi mwingi.
Kumradhi ka popote pametafsirika kama tusi. Endelea kuruka sarakasi.
Hiyo exposure therapy umeikariri naona hata ukilala unaiota. Umeirudia weee hadi unaboa sasa.Lissu inavyoonekana anafanya kile wataalam wanakiita "Exposure Therapy"
Wahanga wa matukio ya kupigwa risasi huwa wanafanyiwa therapy hio
Lissu ni mhanga wa kupigwa risasi.
Gari Jipya halitamsaidia kisaikilojia, labda kisiasa kama inavyo onekana.