Kingwaba Mazegenuka
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 1,016
- 1,707
Sawa nilikuwa natoa angalizo ubinadamu kwanza vyama baadae. Barikiwa sana.Maandiko yangu kwenye uzi huu umekuonyesha nashabikia ccm lakini unaweza kufatilia nyuzi za nyuma na ukadhani nashabikia Chadema
Sina timu nasema ukweli wangu
Hadi ukabubujikwa na machozi ya huzuni !!!Nimelia sana!
Yeah litawekwa sehemu maalumu Kwa ajili.ya makumbusho..Ok kwahiyo litakua makumbusho kwa kumbukumbu? Na gari jipya atachangiwa
Nimeipenda hiiS
Lissu anadeka sana,na Chadema nao wanamdekeza sana. Hii nchi hatuwezi kuwa na Rais Mwanaume halafu awe mdebwedo kama Lissu.
Hii ilitakiwa iwe post namba 2 kwenye huu uziS
Lissu anadeka sana,na Chadema nao wanamdekeza sana. Hii nchi hatuwezi kuwa na Rais Mwanaume halafu awe mdebwedo kama Lissu.
Hujafa hujaumbika.S
Lissu anadeka sana,na Chadema nao wanamdekeza sana. Hii nchi hatuwezi kuwa na Rais Mwanaume halafu awe mdebwedo kama Lissu.
Mi sioni Tatizo kwenye kumchangia Lissu kwa sababu hata Samia tumemchangia fomu ya Urais..Mwingine ni bodaboda tena boda ni ya boss
Anapiga domo hadi udenda unamtoka kuhamasisha wenzake wamchangie lissu
Ujinga wa hali ya juu, pangu pakavu hata mchuzi sina natia maji tena maji ya kisima halafu nimchangie tajiri!
Lissu akionesha bank statement yake sidhani kama anakosa hata 1B
Kaangalie ule uzi watu tulilalamika pia hasa walimu walivyochangishana tulilalamikaMi sioni Tatizo kwenye kumchangia Lissu kwa sababu hata Samia tumemchangia fomu ya Urais..
Nikiwa mjumbe wa CCM kamati ya Mkoa Tumechangia manunuzi ya Fomu ya Rais mwaka 2025..
Hilo.mbona hatulalamiki na watu pia Ndo wale wale
Tatizo ni kuwa hata watu wa kawaida mbona tunawachangia sana..Kaangalie ule uzi watu tulilalamika pia hasa walimu walivyochangishana tulilalamika
Wanakula kodi zetu bado tutoe pesa mifukoni mwetu?
Wananchi wa kawaida tuna matatizo yetu kwanini tusichangiane sisi kuliko kuwachangia hao wanyonyaji?
Au hizo hela za michango kwanini tusichange tuongeze madawati watoto wetu wasikae chini madarasani?
CHADEMA KINAJIUA CHENYEWE KWAKUWA NA WATU WAPUUZI KAMA ILIVYO CCM UWEZO WAO WAKUJUA NINI WAFANYE NA NINI WASIFANYE NA WAFANYE KWA WAKATI GANI AU LA NI MDOGO SANA ....CCM NI CHAMA DHAIFU SANA KAMA KINGEKUTANA NA WAPINZANI WENYE JAPO ASILIMIA 30% TU YA AKILI TIMAMU .FASA HIVI CHADEMA KINAFUATA SERA YA SAMIA YAKULA KWA UREFU WA KAMBAKama alivyo Tundu Lisu yeye ni bahari hakai na uchafu lazima autapike.
Sasa na mimi namuenzi Lissu kwa kusimama katika ukweli na nina swali naomba majibu, je gari ya Lisu haitengenezeki? Maana ninachojuwa engine haikupata madhara yoyote, je Lisu kama mwanamsheria msomi gari yake haina bima kubwa?
Hivi ni busara kweli kukamua watu maskini wakuchangie gari wakati wao hata baiskeli hawana? Je inawezekana vipi chama kikubwa kama Chadema kishindwe kumpatia gari Lisu? Maswali ni mengi hebu naomba wa ufafanuzi kwa haya kwanza.
Kutoa ni moyo siyo utajili.ubinafsi "roho". kila mtu akiwaza kama hivyo tusingefika hapa.hata yule anko wakonaliyekusomesha hakuwa na hela ila ilibidi aahirishe mambo yake ili wewe uende shule.Hao ni wezi!
Watanzania wengi walivyo mbumbumbu watachanga hela
Mwingine hata baiskeli hana ila atamchangia Lissu
Kwani chawa wa ccm wanaochanga pesa ya kumchukulia fomu, ni kwamba Samia hana pesa ya kulipia hiyo fomu?Kama alivyo Tundu Lisu yeye ni bahari hakai na uchafu lazima autapike.
Sasa na mimi namuenzi Lissu kwa kusimama katika ukweli na nina swali naomba majibu, je gari ya Lisu haitengenezeki? Maana ninachojuwa engine haikupata madhara yoyote, je Lisu kama mwanamsheria msomi gari yake haina bima kubwa?
Hivi ni busara kweli kukamua watu maskini wakuchangie gari wakati wao hata baiskeli hawana? Je inawezekana vipi chama kikubwa kama Chadema kishindwe kumpatia gari Lisu? Maswali ni mengi hebu naomba wa ufafanuzi kwa haya kwanza.
Sio kila uharibifu wa chombo cha gari, unafidiwa na bima, kuna mipaka,Kama alivyo Tundu Lisu yeye ni bahari hakai na uchafu lazima autapike.
Sasa na mimi namuenzi Lissu kwa kusimama katika ukweli na nina swali naomba majibu, je gari ya Lisu haitengenezeki? Maana ninachojuwa engine haikupata madhara yoyote, je Lisu kama mwanamsheria msomi gari yake haina bima kubwa?
Hivi ni busara kweli kukamua watu maskini wakuchangie gari wakati wao hata baiskeli hawana? Je inawezekana vipi chama kikubwa kama Chadema kishindwe kumpatia gari Lisu? Maswali ni mengi hebu naomba wa ufafanuzi kwa haya kwanza.
RightNi kwamba Lissu alitaka Kulitengeneza hilo gari ikiwa ni pamoja na Kubadilisha muonekano wake..
Ila watu wakamshauri kuwa akitengeneza Gari hilo watakosa kuona kumbukumbu adhiim..
Ya maisha yake (Yaani kupigwa risasi), kwa hiyo wanaharakati wengi wakapendekeza Lisirekebishwe chochote ila anunue Jingine na Ndiyo maana Wanaharakati kama kina Maria wakaanzisha harambee maana kununua gari jingine halikuwa Wazo la Lissu
Chawa hawana akili hata kidogoKwani chawa wa ccm wanaochanga pesa ya kumchukulia fomu, ni kwamba Samia hana pesa ya kulipia hiyo fomu?
Na hajalazimishwa kuchangasisi wanyonge Mwamba tunamnunulia mpya hayo maswali yako kamuulize jaji mkuu wa ccm
Nyongeza hakuna sehemu Lisu amesema ameshinda kutengeneza gari yake wala kununua lakini watu ndiyo wanataka wamnunueli kama zawadiSio kila uharibifu wa chombo cha gari, unafidiwa na bima, kuna mipaka,
Mfano kwenye bima za, Afya,ukipata madhara kwa kujaribu kujiua, au, kutumia madawa, ya, kulevya, au, kujichubua ngozi, bima haifidii,
Kwa, gari yq lisu, lile tukio,ni ajari ya chombo cha moto?katika matumizi, yake?LA hasha bro!
Nakumbuka, wakati tumeanzisha kampuni, 2005,tulikuwa na ma land cruiser kibao, mwezi, mmoja, gari mbili zikala mzinga! Written off, watu wa bima, kabla hawajilipa, walitaka waje wazione kwanza, waone report ya polisi,nk, kama driver alipiga mitungi, au kulikuwa na poor maintainance, hawalipi