Siyo siri Rais Samia alianza vizuri, sasa analikoroga

Kaa kimya kama huna hoja za kujadili, nchi hii ni yetu sote!
Haya tumia hiyo haki yako vibaya.

Muda sio mrefu utaelewa wazoefu wa ku deal na polisi, kama viongozi wa vyama vya siasa wanaojua mipaka yao kwanini hizo lugha za mapinduzi wanawaachia wenyewe na kwanini Lissu hataki hayo majukwaa yenu anaenda na porojo zake tu.
 
Kama hoja yako ni watu waogope polisi basi huna tofauti na marehemu ye yote! Tangu dunia inaumbwa watu wamekuwa wakipinga uonezi wa watawala na wameuawa wengi na kamwe hawakukoma. Ndiyo sababu tupo hapa vinginevyo hali ingekuwa mbaya zaidi. Huko Afrika ya Kusini polisi wa makaburu waliua waafrika wengi lakini hatimaye walipata uhuru wao na sasa wanaendelea kupambana na mafisadi bila shaka yo yote watafanikiwa pia!

Kufa kupo na hawezi kukwepa tofauti ni aina ya kifo!
 
Tanzania uwezi kuuliwa kwa kukosoa serikali ata unapotunga uongo wa wazi katika harakati za siasa mradi hazina madhara makubwa.

Ila ukianza mipango ya sabotage kwa serikali au lugha za kutishia amani sio Tanzania tu popote duniani unanunua ugomvi na vyombo vya ulinzi.

Mbona asikamatwe Mbowe, Heche, Lissu, Mnyika, Lema na wanasiasa wachadema wanaokosoa serikali kwenye majukwaa. Waje kukamatwa watu ambao wametoa press conference chache tu, shida ni lugha zao ndio maana unaona viongozi wa CDM awajiingizi katika hizo movement zao mwisho wake wanaujua huwa sio mzuri unapotishia amani ya nchi au kumpa raisi ultimatum.

Acheni kupotosha hao watu ambao hawaelewi ugomvi wanao nunua kwa kujazana upepo huko kwenye group discussion zao humo ndani kuna kila aina ya watu wengine sio watanzania.

Ni hayo, goodluck katika harakati zako za kupindua nchi.

👋
 
Au ulitaka itumike Niger style.
 
Ulivyo mpumbavu Mdude anaweza kupindua serikali au amewazidi kwa hoja? Kifupi serikali imeamua kutisha watu na wewe unashabikia kwa ufunza wako!

Halafu wewe unaweza kupotoshwa au unajipotosha! Akina Lissu very soon watabambikiwa kesi kwa kusema ukweli na kuwanyamazisha lakini haitakuwa mwisho wa kuikosoa serikali!
 
CCM Wameshapanic hawatoboi. Kila mtanganyika analijua hilo
Katika siasa ukishaanza kutumia vyombo vyadola kuzima maoni, ujue umeshapoteza umaarufu na watu wengi tu hawapo pamoja na wewe.

CCM ( Mama samia) ina muda mzuri tu wa kulitengeneza hili swala la DP World.
 
Unjaribu kuendesha baiskeli kinyume nyume.
Fuatilia post zangu wakati wa Awamu ya Tano, nilimrarua Magufuli akivurunda na kusifia pale akifanya vizuri.
Ninyi ndo machawa mnaokaa sehemu si nzuri mwilini mwa Mama.
 
Ni kujibizana na poyoyo tu hapa. Ungekuwa unaingia kwenye hizo session zao ndio ungeelewa.

Sishangai kwanini unashindwa kuelewa CDM ambao wanajua athari za kauli zao awajihusishi na hiyo movement, wanatembelea tu upepo wao kwa mbali.

Nani unadhani ana gharamia hizo court cases za Mwakabusi, ukipata jibu na kusikiliza mijadala yao ndio utaelewa; siko hapa ku promote causes za watu wapuuzi watafute uingie huko walipo ndio uone ujinga wanaojazana huko akina Dr Slaa.
 
Poyoyo aliyekuzaa taahira!

Ebu jiangalie una tofauti gani na mbwa kutii hata usichokielewa! Wewe unafahamu anaye wafadhili hao waliosambaa nchi nzima kumuunga mkono Samia na ufisadi wake!
 
Poyoyo aliyekuzaa taahira!

Ebu jiangalie una tofauti gani na mbwa kutii hata usichokielewa!
Umeishiwa hoja sasa unaanza viroja, nenda kaingie kwenye hizo session uone kwanini CDM awataki kujihusisha na hizo movement unapiga tu kelele ilhali uelewi matatizo hao watu wanaojitafutia.

Nimekuuliza mbona Lissu ajakamatwa wakati na yeye amepinga uwekezaji wa bandari.

I have no time with nonsense these days.
 
 

..kutumia POLISI ni dalili za Samia na genge lake kushindwa kujenga hoja zenye ushawishi.

..wananchi wanaelekea kusikiliza na kukubaliana zaidi na hoja za wapinga mkataba wa Dp World kuliko hoja za wanaomuunga mkono Samia.

..vilevile wanaounga mkono Dp World wanaonekana kuchoka na kukata tamaa. Hawaonekani kuwa na ari na mwamko kama wenzao wanaopinga.

..jambo lingine baya ni Samia kuruhusu watu wa hovyo-hovyo kuwa mstari wa mbele kumsemea na kumtetea.

..Haileti picha nzuri kwa kiongozi wa nchi kutetewa na watu wahuni na wasiofaa ktk jamii.
 
Nimekwambia wewe huna tofauti na mbwa! Kwa nini serikali haijibu hoja za akina Mdude badala yake inawafungulia kesi za mchongo zisizo na kichwa wala miguu!

Serikali ina wajibu wa kujibu hoja za wananchi kikamilifu na si kutumia mabavu kuzima hoja. Watu wana akili za kuchuja mbivu na mbichi wataamua!

Sasa wewe kilaza hufahamu kuwa akina Lissu wako targeted, it's a matter of time watakamatwa na wakipona mikutano yao itapigwa marufuku!
 
Hili la DP World limemuondolea mama Samia umaarufu wa kisiasa.
Wahuni na watu wasio na ushawishi wa kisiasa kama Kitenge, Hando na Zembwela kuwa uso wa kuitetea na kuiuza DP World kwa Watanzania kwa kweli ni matusi.
 
Hili la DP World limemuondolea mama Samia umaarufu wa kisiasa.
Wahuni na watu wasio na ushawishi wa kisiasa kama Kitenge, Hando na Zembwela kuwa uso wa kuitetea na kuiuza DP World kwa Watanzania kwa kweli ni matusi.

..suala hili limetuonyesha UHALISIA wa Samia Suluhu Hassan.

..wakati wote alikuwa akifeki-feki sasa ndio tumemjua uwezo wake, falsafa zake, na maadili yake.

..hili suala alitakiwa ajitokeze kulitolea ufafanuzi, lakini muda wote amejificha.

..watangulizi wote walipofanya jambo kubwa kama hili walijitokeza na kulitetea na kulifafanua.
 
Ulitaka wajibiwe vipi bandari zote zimeuzwa wakati sio kweli na sheria (IGA) ipo wazi.

Kama hoja ya bandari Lissu alikuwa anatamka mbele ya polisi mama yenu kauza bandari na uongo kibao mbona yupo huru.

Nimekuuliza swali nani analipia hizo gharama za kufungua kesi za kina Mwabukusi hujui? Nimekuuliza umeshawahi kuingia na kusikiliza mijadala yao ujajibu.

Nilipokwita poyoyo uelewi kwanini wamekamatwa umekasirika; jibu kwanza nani analipia gharama za kina Mwabukusi na kama umesikiliza mijadala ya hao watu.

Nimekuuliza kwanini Lissu hataki uhusiano wa karibu na kundi la kina Mwabukusi na Dr Slaa ujajibu.

Sasa kwanini tuendelee kujibizana wakati hujui hata hakina nani wapo nyuma ya huyo Mwabukusi wakati ni jambo la wazi kama unafuatilia siasa na kwanini uongozi wa CDM unakaa nao mbali wanaojua madhara ya kauli zao hao watu publicly.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…