Social Media: Usijikute Unabishana na Mtu Mwenye Low IQ Bila Kujua!


Hakika ni maisha yao
Yeah
 
Cha kwanza tu pale unapo wadiss watu kwa IQ zao ni clear proof wewe hauko stable mentally na socially sasa unataka upata faraja kwa kudowngrade watu.

Hence so,

Mtoa mada sio kwaamba anawazidi akili, wewe muangalie bado anabishana na sisi waokota makopo.😂😂
 
Changamoto yako unajipa sana umuhimu na kuwapa umuhimu wale wewe kwa mtazamo wako unaona ndio wanaofaa.

Haya maisha wote tungekuwa ni watu wa ndio na pasitokee wa kusema hapana,kusingekuwa na utamu wa maisha.

Unapotumia msingi wa akili kubwa (High IQ) na akili ndogo(LOW IQ) lazima uwe unauhakika na utupe kipimo kipi umetumia kuwapima hao watu.Tofauti na hapo wewe ni mjivuni,mjinga na mtu asiyependa mabadiliko.
 
Kumbe mkuu kuna mda huwa una andika madini🤣
 
Nnje ya mada mkuu , hivi majivu mnapaka kwa sababu gani?
Iko na story mbili ila zote mwisho wake ni mmoja, ya kwanza wewe ni kavumbi na utarudi kuwa mavumbi na ya pili ni ishara ya unyenyekevu na majuto juu ya madhambi ambayo umeyafanya iwe kwa kujua au kwa kutokujua... Twende tukapake majivu mkuu😅😅 au na hii nayo unataka uthibitisho?🤣
 
Kumbe mkuu kuna mda huwa una andika madini🤣
Swadakta.

Hii ina prove kuwa sio kwamba watu wa JF na maandiko yao ndio ishara ya upeo wa akili yao.

Mara nyingi humu kuna masihara lakini pia ndio yanafanya tu-enjoy.

Unaweza kuandikka kitu mtu akaandika masihara ,kama hautaki una mblock

Lakin unaposema aliekupinga mfano kuwa hakuna uchawi eti yeye nimjinha zaidi yako yani hio ina prove how insane u are kama mtos mada
 
Hii mada yako uliyoandika imekuingizia shingapi bwanamkubwa.

Jaribu kuhubiri yale unayoweza kutenda😂😂😂its easy saying than doing.
 
Kama mnataka kuona mtoa mada anakili ndogo kama zangu ngoja muone anatanijibu hii comment.

"MTOA MADA, MAYBE U ARE JUST INSANE"
 
Hii mada yako uliyoandika imekuingizia shingapi bwanamkubwa.

Jaribu kuhubiri yale unayoweza kutenda😂😂😂its easy saying than doing.
Tajiri gani anabisha na vijana wanaoishi kwa shemeji zao hadi sasa😂😂😂😂😂
 
Mkuu matumizi ya matusi, kejeli na hoja zisizo na mashiko reflect low intelligence the way you interact with important discussion shows how intelligent you are!!
 
kijana amejifungia kwenye box hataki challenge🤗🤗🤗

Yeye anajiona anayajua yote huyu ndo wale kwenye maisha hawajawahi kukutana na changamoto yamkini amelelewa katika mazingira ambayo hajawahi kuface difficulties na akazitatua mwenyewe bila usaidizi wa watu wengine wanaomzunguka.

Anaashiria kizazi cha wasomi,wajivuni wasiopenda kusikiliza mawazo ya wengine.Anaamini sana kwenye uwezo wake binafsi na elimu yake.Ni hatari mtu kama huyu kupewa madaraka makubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…