Sofiane Boufal: Ushindi wa Morocco ni kwa ajili ya wananchi wa Morocco, Waarabu na Waislamu

Hata BBC official news wameripoti hivyo. Kwamba ni kwa Arab na Islamic world. Halafu siye mieusi tii tunapanua midomo ooh ushindi wa Africa, wapii?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mnapaniki nini sasa sinmshabikie timu yenu taifa staff
 
Kumbe tatizo ni rangi na dini ndio wame onekana sio waafrika, tukirudi nyuma ki historia Gaddafi alikua ana vaa beige ya Africa sijui alikua mjerumani?
 
Jamani ameomba msamaha kwenye account yake ya Instagram
 
jinga sana ili chezaji hakukuwa na sababu ya yeye kuongea maneno yale wakina al haji diof wakiwa wanawatoa France mbona awakusema huu ushindi ni kwa ajili ya wa Africa weusi tu,waislamu na wasenegal ..
Kuna baadhi ya watu waliozaliwa sehemu ni kabila Moja, dini Moja , rangi Moja na kwa kuwa hawajawahi kujichanganya na jamii zingine huamini dini zao, Mila zao ,kabila zao ni Bora na superior kuliko wengine.
Huamini jamii nyingila labda hawatendi mema, hawapatinriziki na Wala mifumo Yao ya Maisha haiwafanyi kuwa watu kamili.
Watu kama hao ndio wale wanaolazimisha kuwasalimia hata jamii zisizofuata Imani hizo kwa salamu zao, ama ukienda mema wanakudhihaki " umefanya kama dini Fulani" au ingekuwa dini Fulani ungependeza sana
 
Nyie machoko tu mbona huyo ashraf hakim mama yake ni mweusi
 
Ni kama tu vile Uturuki inavyoshiriki UEFA na Euro cup.

Uturuki iko Ulaya na waturuki ni wazungu sio waarabu...umeonesha ignorance yako Tu au chuki...

Albania waislam na ni wazungu.na iko ulaya.
Azerbaijan waislam ni wazungu na iko Ulaya... Kosovo waislam wazungu wako Ulaya....sio kila mweupe mwisalam ni mwarabu......Hao wote wazungu wako Ulaya... Chechnya wazungu waislam wako Europe..
 
Katika waarabu wote wa Africa hao wa moroco ndio wanajionaga special sana.

Wamisri, Tunisia, Algeria, Libya, western Sahara Wala hawana hizo stereotypes.
Waarab wote ni sawa. Ni vile hujafatilia tu.
 
Jibu la kwanza ni Jibu sahihi. Ama niseme wazo la kwanza linatoka ktk subconscious mind hilo ndilo analowaza mtu na limeujaza moyo wake.
 
Hawa Morocco watapigwa kama ngoma ba Portugal
 
Nikweli lakin kuna mataifa ya kiarabu hayataki umoja.
Mimi mkuu namaliza Advance form 6 kuna Scholariship kibao, za kwenda Algeria, Gadafi tunamjua na misimamo yake, Tumeona Mfalme wa Morocco alikuja hapa na misaada yake, je sisi tumewasaidia nini hizo nchi?
 
Uturuki haipo bara la ulaya. Haya au kama Israel inavyoshiriki uefa na champions ligue.Halafu mimi sijaongelea dini.Ila waislam mna udini jamani. Haya nimekupa mfano wa Israël.
 
Kwani hizo team za Ulaya tunashabikia ni za Africa na hizo dini zao za upagani, uyahudi etc.. tumezifuata? Mpira ni burudani...use your common sense to make sense acha ushabiki maandazi!
 
Uturuki haipo bara la ulaya. Haya au kama Israel inavyoshiriki uefa na champions ligue.Halafu mimi sijaongelea dini.Ila waislam mna udini jamani. Haya nimekupa mfano wa Israël.
Uturuki kama Urusi ipo kote kote Ulaya na Asia.



Ukiangalia hapo Georgia, Armenia, Azerbaijan zote zipo Ulaya na zinapakana na Iran ila zipo mbali na Ulaya kuliko Uturuki.

Pia Ugiriki na Bulgaria kwa upande mwengine zimepakana na Ulaya.
 
Uturuki haipo bara la ulaya. Haya au kama Israel inavyoshiriki uefa na champions ligue.Halafu mimi sijaongelea dini.Ila waislam mna udini jamani. Haya nimekupa mfano wa Israël.
Uturuki ipo Ulaya...usibishe bila kufanya tafiti...Urusi na Uturuki zote zipo Ulaya na Asia Kwa pamoja.... geographically....
Nyani haoni..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…