Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Mimi ni muislamu lakini hawa waarabu huwa siwakubali hata kidogo.......misaada yao kwa waislamu wenzao huwa ni misikiti tu hakuna msaada zaidi ya huo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie hao wote naona wote tu wanatudharau..
Akiniheshim namheshmu
Akinidharau namdharau..
Haina haja kupanic sanaaaa tunawapa ukuu usio na maana.
Wajamaa ni wabinafsi kuna sehem ukienda hata kusimama kwenye swala hataki ukutanishe miguu yake na ngozi nyeusi[emoji1787][emoji1787]Mimi ni muislamu lakini hawa waarabu huwa siwakubali hata kidogo.......misaada yao kwa waislamu wenzao huwa ni misikiti tu hakuna msaada zaidi ya huo
Post zingine ni kichefu chefu tu.Morocco Egypt na Libya zilishakataa kuwa wao siyo Waafrika na chochote wafanyacho hakihusiani na Afrika!
Na ni Morocco ndiyo waliopinga kwa nguvu zote kuwa Afrika ya Kusini wasiwe wenyeji wa Kombe la Dunia la FIFA 2010 kwa madai kuwa hakuna hata nchi moja ya Afrika yenye uwezo wa kuandaa Kombe la Dunia hata kama wakisaidiwa kuliandaa.
#Poleni_Sana_Msio_Waarabu_Na_Wale_Wote_msio_waislam_Ila_Mlikesha_Na_Kuomba_Ili_Morocco_Ifuzu.
View attachment 2438715
Utabili ulimshinda Yahya Hussein huo, sasa yuko kabulini.Hao morroco mwisho wao ni hapo hapo walipo
Bora iwe hivyo maana kuwaweka kapu moja Morocco na Yusuph Makamba ni KUWANAJISI!
Yes, I mean it!
Kwetu mtu mwenye matusi asiye na staha huwa hatuhangaiki nayePost zingine ni kichefu chefu tu.
Hivi mzungu na baba ako boo-lanani?
Unazingua ndio maana nikaamua na mimi nikuzingue.Kwetu mtu mwenye matusi asiye na staha huwa hatuhangaiki naye
Wasio waislamu ni wabaguzi sana.Nina amini hawakuimbea Moroco zaidi ya kuumia tu.Morocco Egypt na Libya zilishakataa kuwa wao siyo Waafrika na chochote wafanyacho hakihusiani na Afrika!
Na ni Morocco ndiyo waliopinga kwa nguvu zote kuwa Afrika ya Kusini wasiwe wenyeji wa Kombe la Dunia la FIFA 2010 kwa madai kuwa hakuna hata nchi moja ya Afrika yenye uwezo wa kuandaa Kombe la Dunia hata kama wakisaidiwa kuliandaa.
#Poleni_Sana_Msio_Waarabu_Na_Wale_Wote_msio_waislam_Ila_Mlikesha_Na_Kuomba_Ili_Morocco_Ifuzu.
View attachment 2438715
Akumbuke na siku timu ya nchi ya kiislamu itakapotolewa na timu ya nchi ya kikristu. Akumbuke kutoa Taarifa kuwa waliotolewa ni wamorocco wote, waarabu wote na waislam wote.Morocco Egypt na Libya zilishakataa kuwa wao siyo Waafrika na chochote wafanyacho hakihusiani na Afrika!
Na ni Morocco ndiyo waliopinga kwa nguvu zote kuwa Afrika ya Kusini wasiwe wenyeji wa Kombe la Dunia la FIFA 2010 kwa madai kuwa hakuna hata nchi moja ya Afrika yenye uwezo wa kuandaa Kombe la Dunia hata kama wakisaidiwa kuliandaa.
#Poleni_Sana_Msio_Waarabu_Na_Wale_Wote_msio_waislam_Ila_Mlikesha_Na_Kuomba_Ili_Morocco_Ifuzu.
View attachment 2438715
Nilikuwa sijui kwa hilo ngoja nielimishe ma kundi niliyonayo asee next time naitabilia mabaya hatariMorocco Egypt na Libya zilishakataa kuwa wao siyo Waafrika na chochote wafanyacho hakihusiani na Afrika!
Na ni Morocco ndiyo waliopinga kwa nguvu zote kuwa Afrika ya Kusini wasiwe wenyeji wa Kombe la Dunia la FIFA 2010 kwa madai kuwa hakuna hata nchi moja ya Afrika yenye uwezo wa kuandaa Kombe la Dunia hata kama wakisaidiwa kuliandaa.
#Poleni_Sana_Msio_Waarabu_Na_Wale_Wote_msio_waislam_Ila_Mlikesha_Na_Kuomba_Ili_Morocco_Ifuzu.
View attachment 2438715
jinga sana ili chezaji hakukuwa na sababu ya yeye kuongea maneno yale wakina al haji diof wakiwa wanawatoa France mbona awakusema huu ushindi ni kwa ajili ya wa Africa weusi tu,waislamu na wasenegal ..Akumbuke na siku timu ya nchi ya kiislamu itakapotolewa na timu ya nchi ya kikristu. Akumbuke kutoa Taarifa kuwa waliotolewa ni wamorocco wote, waarabu wote na waislam wote.
labda kombe la kunywa la kwa mganga lakini sio WCNyinyi miafrika myeusi mpira hamjui, kazi yenu ni uchawa na uchura tu.
Kwahiyo sisi waarabu hatuwezi kuwapambanieni nyinyi ngozi ya goti, hilo mukae mkijua.
Kwani si mulikua na vitimu vyenu kwenye michuano hii?
Kwataarifa yenu sisi tunachukua ubingwa, na hatutaki mutushabikie.
KILA MTU APAMBANE NA HALI YAKE
"Kobe nyie"