Soko la Kariakoo lateketea kwa moto

Mzee Baba hayupo wamebaki wazembe tu najua angekuwepo wangeamshana hata kama wamelala
Siku zote moto ukiwaka fire huwa wanashindwa wanafika tu wanasema hawana maji, hakuna cha mwenda zake wala nini, fuatilia moto ambao fire walizima wakafanikiwa bila wananchi kujitolea adi kuchota maji wenyewe fire adi wanataka kupigwa na wananchi
 
Ajari za moto kama huu zitaishia kuchukuliwa kama ajali zingine tu.... tujitathimini
 
Kwanini uwashinde[emoji3480][emoji845]

Jengo lile linamiundombinu dhabiti ya kuzimia moto sehemu zote
Sie waafrica na hiyo miundombinu wapi na wapi? Si tunaaribu kila kitu
 
Kweli mkuu nilisubiri anijibu, nione jibu lake!

Hawa huwa wanadhani lita 7000 zinaweza kuzima moto hata masaa matano.

6 bars pressure ina uwezo wa kudrain hizo lita 7000 within no time..

Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
 
Hukutaka kuamini kama gari limeanguka au hukuamini kitu gani?

Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
 
Aliyekudanganya ni nani⁉️
Frame zake ni ndogo ndogo ambazo haziruhusu mtu kuweka biashara kubwa, nje ni vibanda vya machinga tu. Labda uhesabu ile Bank, na wale ni kama tu wanatoa service.
 
Acha ujinga wako.. ulikuwepo? We unadhani yale maji yanatumia dk ngapi kwisha kwa presha ile?
 
Ukienda baadhi ya nchi nje ya africa.
Njiani na baadhi ya maeneo hasa mijini utakutana na mabomba kwa ajiri ya fire kila baada ya umbali kadhaa.

Yote hayo ili kuepuka mambo kama haya.
Nashauri serikali ifanye mpango kama huu huku Tanzania.
Utakuta siku moto unawaka na maji yamekatika[emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…