Soko la Kariakoo lateketea kwa moto

Soko la Kariakoo lateketea kwa moto

View attachment 1848831

View attachment 1848927

View attachment 1848950

Soko Kuu la Kariakoo jijini Dar es Salaam linaungua moto usiku huu huku jitihada za kuuzima zikiendelea.

Akizungumza na Mwananchi kwa simu, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla amethibitisha tukio hilo.

Makalla ambaye yuko kwenye eneo la tukio, amesema; “Ni kweli soko linaungua na tuko hapa tunapambana kuuzima moto”
Amesema moto huo umeanza kuwaka Saa 3:30 na chanzo bado hakijajulikana.

“Moto umeanza kama nusu saa iliyopita, tupo kwenye eneo tunapambana kuuzima” amesema Makalla ambaye hakutaja chanzo cha moto huo.
Moto umeanza saa1nanusu usiku Faya wameingia saa tatu nanusu na Maji hawana
 
Msiwalenge waliopigwa chini tu
Hivi mnawajua vizuri watu waliopo serikalini nyie?
Mnawajua vizuri!!! Hawa wanaotengeneza matatizo na baadae kuja Kama kutatua mnawajua well?
Haha hivi unakumbuka sababu za kuteuliwa Mrisho Gambo kuwa mkuu wa mkoa wa Arusha na JPM? Arusha ilikuwa na matukio ya moto sana
 
Mi binafsi kuna mdau alileta uzi umu nafikiri ni majuzi kwamba moto unawaka kariakoo kitu ambacho akikua kweli,baada ya muda ule uzi ukafutwa

Swali ni sisi kujiuliza yule mtoa uzi alikua na lengo lipi au aliwasha moto ikashindika iyo juzi? Leo hii ndio umefanikiwa ? Au unabii wa jf najiuliza apa sipati jibu?
 
Haha hivi unakumbuka sababu za kuteuliwa Mrisho Gambo kuwa mkuu wa mkoa wa Arusha na JPM? Arusha ilikuwa na matukio ya moto sana
Acha tu we fatilia hata bunge tu utagundua kuna makundi sasa ukiwafatilia vizuri wanamizizi mirefu sanaaa.
 
View attachment 1848831

View attachment 1848927

View attachment 1848950

Soko Kuu la Kariakoo jijini Dar es Salaam linaungua moto usiku huu huku jitihada za kuuzima zikiendelea.

Akizungumza na Mwananchi kwa simu, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla amethibitisha tukio hilo.

Makalla ambaye yuko kwenye eneo la tukio, amesema; “Ni kweli soko linaungua na tuko hapa tunapambana kuuzima moto”
Amesema moto huo umeanza kuwaka Saa 3:30 na chanzo bado hakijajulikana.

“Moto umeanza kama nusu saa iliyopita, tupo kwenye eneo tunapambana kuuzima” amesema Makalla ambaye hakutaja chanzo cha moto huo.
Hii yote ni laana kutokana na kubinya haki za wananchi.
CCM wanau undermine sana ukuu wa Mungu. Hawajifunzi kilichowatokea mwezi March 2021 kufuatia impunity isiyovumilika dhidi ya haki za Watanzania October 2020.

Sijui kwa nini hawajifunzi...... sijui hadi Mungu awapige rungu gani tena ili fahamu ziwarejee maana inaonkekana lile la March halijawakolea bado.

Haya waendelee tu, ila sisi hatutakoma kuwakumbusha kwa vile tunawapenda.
 
Back
Top Bottom