SOKO: Wanaohitaji kununua vitu used kwa bei ndogo pitieni hapa

Jamani, sofaset zetu boss ameshusha bei zinambania nafasi amenunu mpya, 470,000 anakuachia.

Capasity
3:2:1

Location: Makumbusho
Contact: 0752329591
 

Attachments

  • 超级截屏_20230314_092858.png
    370.2 KB · Views: 24
Hisense Sound Bar
Imetumika miezi miwili tu.
Ina receipt na ina box lake.
Price:360,000 Fixed
Contact: 0752329591
 
SOLD

Vyote Vinauzwa
Bei : 100,000
contact: 0752329591
 
aisee iyo sofa imejambiwa haswaaa
 
Nashida na hometheater ila hii bei na dukan tofauti yake ni ndogo sana
Hii bado mpya hajaitumia sana iko fit sana, thats why hajashusha sana , ila dukani ukibahatika sana ya aina hii ni 650+, na yeye huyu mwenye hii anaweza.kukupunguzia kiasi.
 
SOLD

Puff Bomba
Inafunguka fresh kwa ajiri ya kuhifadhia vitu.
Proce: 60,000
Location: Kinondoni Biafla
Contactz: 0752329591
 
Bench za kukalia, soft.
Ziko 3
Zote pamoja bei : 200,000 fixed.
Location: Kinondoni Biafra
contact: 0752329591
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…