SOKO: Wanaohitaji kununua vitu used kwa bei ndogo pitieni hapa

SOKO: Wanaohitaji kununua vitu used kwa bei ndogo pitieni hapa

Stabiliser watt 1800.
0687076714.
20230304_102331.jpg
20230304_102340.jpg
20230304_102355.jpg
 
Jamani, sofaset zetu boss ameshusha bei zinambania nafasi amenunu mpya, 470,000 anakuachia.

Capasity
3:2:1

Location: Makumbusho
Contact: 0752329591
超级截屏_20230316_102300.png
 

Attachments

  • 超级截屏_20230314_092858.png
    超级截屏_20230314_092858.png
    370.2 KB · Views: 24
Hisense Sound Bar
Imetumika miezi miwili tu.
Ina receipt na ina box lake.
Price:360,000 Fixed
Contact: 0752329591
超级截屏_20230317_174345.png
 
Wakuu,

Boss wetu anahama, hivyo anauza kila kitu unachokiona hapa. Ukija na 1,150,000 unachukua kila kitu. Lakini kwa kimoja kimoja ni kama ifuatavyo

Sofaset (Leatherz) - 500,000 watu 6.
Tv Samsung (40 Inch original) - 450,000
Showcase (under tv) - 250,000

Karibuni sana tumuhamishe boss wetu kwa bei nzuri. Sofa ni pure leather na soft material (sio magumu ni raini).

Location: Gongo la Mboto kambi ya jeshi.
Contact: 0752329591View attachment 2553873View attachment 2553874View attachment 2553875
aisee iyo sofa imejambiwa haswaaa
 
Nashida na hometheater ila hii bei na dukan tofauti yake ni ndogo sana
Hii bado mpya hajaitumia sana iko fit sana, thats why hajashusha sana , ila dukani ukibahatika sana ya aina hii ni 650+, na yeye huyu mwenye hii anaweza.kukupunguzia kiasi.
 
SOLD

Puff Bomba
Inafunguka fresh kwa ajiri ya kuhifadhia vitu.
Proce: 60,000
Location: Kinondoni Biafla
Contactz: 0752329591
超级截屏_20230318_140231.png
超级截屏_20230318_140244.png
 
Bench za kukalia, soft.
Ziko 3
Zote pamoja bei : 200,000 fixed.
Location: Kinondoni Biafra
contact: 0752329591
超级截屏_20230318_140159.png
 
Back
Top Bottom