Mama pretty
JF-Expert Member
- May 1, 2020
- 2,398
- 4,948
- Thread starter
-
- #41
Pole sana mkuu. Mungu akuongoze upite salama🙏Pole saana,
Kwa kweli kuna kipindi maisha yanakuwa magumu kuliko ugumu wenyewe, miezi 3 iliyopita nilichapika haswa, kuanzia magonjwa, kazini, mpaka familia,
Kuna mtu akasikia naumwa akanipigia simu, akasema vipindi vigumu vinapitaga, jipe 6 month to a year mambo yatakaa sawa, then akasema vipindi vigumu ni test na mostly ni maandalizi ya kutusua, mungu anakutest ili ukitusua, usimsahau.
Kiukweli bado sijatusua maisha, ila namshukuru mungu nimerudi normal, na napambana nitusue. I believe kwa msoto niliopitia nina haki ya kutusua, na I am eagerly waiting and praying for my turn ya kutusua maisha
Big nyash inafanya nini kwenye kumbato😁Na ukumbatiwe na mtu mwenye big nyash
Natania tu
Asante sana kwa kunitia moyo. Mungu akubariki🙏I wish I were close to you sweetheart, wewe ni mtu muhimu sana maishani mwa watu ambao wengine hata huwafahamu mimi nikiwa mmoja wao. Nakupenda sana na naijari familia yako,. Don't do any stupid thing, you're strong than how you can think of yourself mamii...let's things slide as much as they can go off of you. Nichek PM tafadhali sana
Kwa haya yangu nimehitaji hivyo tu ili nijiskie vizuri hata kama changamoto zimeshindwa kutatulika kwa wakati huoInategemeana unapitia magumu gani,sio kila gumu linahitaji kumbatio
Itakua ilivaa kanikiLkn si madela yamekuwepo sahizi tu.. zamani dunia ilivaa nini mkuu
Kulia nimeshalia sana mkuu ila uchungu umegoma kuniisha kabisaKaza tu ukipata upenyo wa kulia lia mpaka ugalegale, vua na ngua kabisa maana usiku ni wakati wa majonzi. Asubuhi mapema piga supu yako endelea kujumuika na watu
Natafuta timing nikalie kwa sauti kabisa. Asante mkuuPole sana kama kuna uwezekano wa kulia kwa sauti hapo ulipo lia. Maana hiyo hali kunakuwa km kuna jiwe kooni kila ukimeza mate linashuka na kupanda.
Upo sahihi.Huna majukumu mkuu ;
Ungekuwa nayo wala usingewaza
Utoto namna hii.
Asante sana. Ninafikiria kupata mtu wa kumuelezea hali halisiWewe ni mkubwa kuliko changamoto ulizonazo.Kiuhalisia unapitia hali ngumu sana na sidhani kama umeyaandika yote hapa ila wapo watu wakuelewa shida yako na kukushauri.
Asante sana mkuu. Kwa sasa nipo hapa kwenye jiji la ChalamilaPole sana, upo wapi nikufate?
Hili ndilo hunipa nguvu zaidi🙏Pretty anakutegemea stay strong
Asante kwa dua❤️Sema na mimi maneno haya "oh jesus,fanya muujiza maana nipo kwenye giza na ukija mwanga unaniumiza!!! Baba please kama unaniskiza naijongea altare nambie neno moja na mimi ntabaki pale"....
Hilo jaribu lako ni dogo na utalishinda njoo ufanyiwe maombi,wenye tatizo kama lako wengi wameshafunguliwa
😔Lean on my shoulder baby ❣️
Amen mkuu, Asante sana kwa maneno ya faraja🌺Mama P pole kwa unayopitia.
Usiumie sana, jipe moyo. Tambua kwamba giza likwa kali, kunakaribia kupambazùka.
Usikate tamaa, kesho njema na ya furaha iko mbele yako.
Mungu akutie nguvu.
Asante kwa kuelewa kusudio la ujumbe wangu mkuu🙏Hisia hiyo ina nguvu kubwa sana. Wakati mwingine maneno mengi au suluhisho la kifedha haliondoi ule uchovu wa ndani ya roho.
Unachohitaji ni ubinadamu tu—kuhisi upendo, usalama, na uwepo wa mtu anayejali bila kukuhukumu.
Kumbatio na maneno hayo rahisi hubeba ujumbe mzito kwamba hauko peke yako katika mapambano yako