Sometimes Huhitaji Ushauri Wala Pesa… Unahitaji Tu Mtu Mmoja Akukumbatie na Kukuambia: Everything Will Be Okay

Kwa hilo nashukuru Mungu mpaka sasa nipo hai, naamini lipo kubwa jema mbele tangu🙏
 
Husichoke kuamini, husichoke kuwa mvumilivu, husichoke kupambana. Nyanyuka tusonge mbele sote kesho hatuifahamu. Everything shall go alright
 
Pole mamii hauko peke yako ingawa mimi sijawahi kufikiria kujiua.
Usijali you will be okay.
 
Umewasaliti wenzako wanao tuimbia "pesa ndio kila kitu......".

Katika maisha ukiwa na marafiki (wapo wachache mno) ambao wanakupa furaha na amani na ukiwa na mwenza anaye kupenda bila ya kujali una nini na unapitia hali gani, basi wewe ni tajiri mkubwa sana kwenye hii dunia iiyo jaa chuki, wivu, kusalitiana,kukatishana tamaa na kuumizana.
 
I send you my warm hug, and i whisper in your ear "everything will be okay mama"
Have faith🫂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…