Alejandroz
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 329
- 413
Tumekuwa tukisikia kuwa kwasheria za nchi yetu baada ya ndoa kuvunjika mgao wa machumo ya ndoa ni pasu kwa pasu yaani 50/50,, naomba ufafanue zaidi kuhusu hiliSOMO LA MALI KWA WANANDOA KWA KILICHOTOKEA KWA ACHRAF HAKIMI NA MKEWE.
Bashir Yakub, WAKILI.
+255714047241.
Mke wa ACHRAF HAKIMI ameshindwa kupewa mali yoyote baada ya ndoa yao kuvunjika kwasababu Hakimi aliziandika mali
Na je kama wanandoa wameamua kuwaandikisha watoto,, vpi kuhusu watoto wa nje ya ndoa, watahusika kwenye mgao wa mali kwa watoto?
Nawasilisha