Sasa hapo sijui kwenye tafsiri utaiweka vipi, lakini hakuna ishu ya kuhudumia Mwanamke au Mwanaume Baada ya Talaka.
Talaka tafsiyyake ni kuvunja Ndoa(mahusiano mliyokubaliana) ninyi sio mume na mke tena, ninyi wote ni Watu wazima, kila mmoja anauwezo wa kujitegemea na kufanya kazi ya uzalishaji, hivyo ni jukumu la kila MTU kujilisha na kujitunza.
Kama Mwanamke anataka apate Huduma anatakiwa akatae talaka, Ila muwe mnaishi separate Kwa makubaliano Fulani. Hiyo wengi ndio wanafanya.
Lakini Hii inamzuia Mwanamke au Mwanaume kuoa au kuolewa na MTU mwingine.
Lakini kuvunja ndoa na kupewa talaka ni kuruhusu Uhuru Kwa kila mmoja kuendelea na Maisha yake.
Huwezi hudumia MTU Huru (aliyejikomboa)
Ni kama mtoto aliyekua, akaondoka nyumbani, hakuna sheria inayomlazimtaka mzazi amhudumie mtoto wake aliyefikisha umri wa utu uzima.
Hizo ndio sheria