BALENSIAGA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 3,353
- 5,800
Ndio maana nikasema sheria huzijui, unaposema mazingira Fulani Fulani ambayo sheria haijayataja unamaanisha ndio hiyo Discretion ya Mahakama?😀😀
Hakuna kitu kama hicho.
Sio jukumu la mwanaume au Mwanamke kujua Hali ya Mtalaka wake, Ila ni jukumu lake kuangalia Hali ya Watoto wao.
Unazungumzia mawazo ya kijiweni tena ya Mwaka 47 Huko.
Hiyo shall au may au discretion ninaweza kutokujua maana yake katika Muktadha wa sheria.
Bahati nzuri ni mtaalamu wa Lugha hivyo najua kila neno linaweza kuwa na maana Fulani kulingana na Muktadha. Hivyo upo sahihi.
- inaonekana husomi au huelewi ninachoandika, Mimi nimeandika hivi "Kama means ya Mwanamke ya kupata pesa ipoje ana kipato kiasi gani nk_ haya maneno nimeyaandika hapo juu, au neno 'Means ' huelewi maana yake?
[*]Mimi na wewe nani anazungumzia mambo ya kijiweni? Mimi natumia Sheria ya Ndoa ya '71, wewe unatumia sheria ya wapi? Hakuna hata Sehemu moja kwenye Hoja zako umetoa rejea ya kifungu, Mimi nimekupa kifungu kabisa Cha 115 Cha sheria ya Ndoa, wewe umeweka mawazo Yako binafsi ambayo sio ya kisheria na kimsingi ni maneno ya vijiweni Kwa sababu hayana authority yoyote ile
-umeshakubali kuwa maneno ya Shall na may yanakusumbua
- wewe ni mtaalam wa Lugha? Lugha gani