Bueno
JF-Expert Member
- Sep 9, 2022
- 4,114
- 6,449
Anna hadi wewe hutaki kupigwa paipu kweli ?Ndoa utapel
Ndoa ni utumwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anna hadi wewe hutaki kupigwa paipu kweli ?Ndoa utapel
Ndoa ni utumwa
-
- Nimekwambia kuwa mahakama inaweza kutoa hiyo amri au isitoe hiyo ipo kwenye discretion ya Mahakama.
- unataka mantiki gani? Wakati hiyo jambo liko kwenye discretion ya Mahakama, Yaani mahakama inaweza kutoa amri ya matunzo au isitoe hiyo amri, Kwa kuangalia mazingira Fulani Fulani.
Mume akitoa talaka anatoa matunzo kwa watoto wake tu.Kwa Sheria za Tanzania, ni jukumu la mwanaume kumtunza mke wake hicho kifungu kipo kwenye Sheria ya Ndoa,
Na pia kipo kifungu Cha sheria kinachosema mume anaweza kumtunza mke na watoto walioachana.
Hii kesi hii ya Mwanahawa Hamis v Ally Seif ndio CJ Nyalali aliamua hivyo mchango wa mwanandoa hata kupika, kufagia, kudeki, kuosha vyombo, kukupa chakula pendwa, nkbali kinachaoangaliwa ni mchango wa mwanandoa kwenye kupatikana Mali husika.
- Mimi kitaaluma ni Muhasibu nina CPA T yangu, ila najua English tu basi na hapo tatizo kwako ni lugha ya kiingereza.Ndio maana nikakuambia sheria itakusumbua Sana. Kama ni Wakili basi jnakazi ngumu Sana kushinda Mahakamani.
Sasa ukishasema Mahakama inaweza kutoa amri Fulani au isitoe mpaka hapo hauelewi mantiki ya hicho kifungu?
Mtalaka hahudumiwi. Hakuna sheria ya hivyo,
NajuaHii kesi hii ya Mwanahawa Hamis v Ally Seif ndio CJ Nyalali aliamua hivyo mchango wa mwanandoa hata kupika, kufagia, kudeki, kuosha vyombo, kukupa chakula pendwa, nk
Unajua maana ya haya maneno, 'when granting or subsequent to the grant of decree of divorce '?Mume akitoa talaka anatoa matunzo kwa watoto wake tu.
Halazimishwi kumhudumia mtalaka wake, ila kama mtalaka anaishi na watoto atakuwa anafaidika kupitia huduma wanayo pewa watoto kama pesa ya matunzo.
Yawezekana Hakimi alikuwa akipata mshahara wake anampa mamake (anatoa mshahara wake kama zawadi kwa mamake). Na hivyo kumfanya mama kuwa na mali nyingi kumzidi Hakimi.
- Wakili, umezungumzia Kuhusu kuandikisha Mali Kwa majina ya wengine eg Mama Ake Hakimi, na kusema kuwa Hana Mali yoyote (Hakimi), hiyo mahakama iliyoamua Hilo shauri ilitakiwa ijiulize inawezekana vipi mtu mwenye kipato Cha zaidi ya Bilioni 2 asiwe na Mali yoyote? Tuseme alikuwa anatumia zote? Mahakama ilitakiwa ijiulize Mama Hakimi ameweza vipi kumiliki ukwasi wa kutisha i.e hizo Mali kama Nyumba? , Mama Hakimi analipwa Bilioni ngapi , Hadi aweze kumiliki hizo Mali?, Mahakama ilitakiwa itoe amri kwa Hakimi atoe matunzo Kwa mke wake
- Hapo Hakimi ametumia false pretense.
- shall maana yake ni ni 'itaweza ' , may maana yake ni 'inaweza '
- usiseme kuwa hakuna kitu Kama hicho, ndio maana hapo awali nilikwambia ni discretion ya Mahakama au neno discretion hujui maana yake? Nimegundua pengine tatizo ni Lugha ya kiingereza
- nimekuchambulia Kwa kiswahili sasa umeelewa, kumbe maneno shall na may ndio tatizo
Mimi sio Wakili ni Muhasibu nina CPA T,msc in finance na ni Certified information system auditorYawezekana Hakimi alikuwa akipata mshahara wake anampa mamake (anatoa mshahara wake kama zawadi kwa mamake). Na hivyo kumfanya mama kuwa na mali nyingi kumzidi Hakimi.
Hii haiwezi kuwa utetezi sahihi wa mama Hakimi. Tusaidie ndugu wakili.
Wewe unambishia kwa nadharia wakati upande wa Pili mwenzako anafanya kwa vitendo, anahudimiwa mke na mtoto hivi uliuona ule mkeka wa Jackline Mengi?Mume akitoa talaka anatoa matunzo kwa watoto wake tu.
Halazimishwi kumhudumia mtalaka wake, ila kama mtalaka anaishi na watoto atakuwa anafaidika kupitia huduma wanayo pewa watoto kama pesa ya matunzo.
- hiyo sio tafsiri ya ya neno Mali za Wana ndoa, Mali za wanandoa ni zile Mali zote zilizopatikana Wakati/kipindi Cha Ndoa kwa Kutumia kanuni ya mchango wa mwanandoa kwenye kupatikana Mali husika mfano Kwa kutoa pesa, Mali au kwa njia ya Kazi, sio lazima wawe wamekubaliana bali kinachaoangaliwa ni mchango wa mwanandoa kwenye kupatikana Mali husika.
Ni kweli kingereza cha sheria sina ukaribu nacho.
Lakini hicho cha shall na May hakinishindi.
Ukishaingiza busara kwenye sheria unajua maana yake?
Sawa mkuu. Naomba msaada wa swali languMimi sio Wakili ni Muhasibu nina CPA T,msc in finance na ni Certified information system auditor
Mimi mwanasheria pori nachokoza nijifunze tu.Wewe unambishia kwa nadharia wakati upande wa Pili mwenzako anafanya kwa vitendo, anahudimiwa mke na mtoto hivi uliuona ule mkeka wa Jackline Mengi?
Pia mwanandoa anaweza kumiliki Mali binafisi, hiyo ipo kisheria na hiyo Mali haigawanywi- hiyo sio tafsiri ya ya neno Mali za Wana ndoa, Mali za wanandoa ni zile Mali zote zilizopatikana Wakati/kipindi Cha Ndoa kwa Kutumia kanuni ya mchango wa mwanandoa kwenye kupatikana Mali husika mfano Kwa kutoa pesa, Mali au kwa njia ya Kazi, sio lazima wawe wamekubaliana bali kinachaoangaliwa ni mchango wa mwanandoa kwenye kupatikana Mali husika.
- Mimi kitaaluma ni Muhasibu nina CPA T yangu, ila najua English tu basi na hapo tatizo kwako ni lugha ya kiingereza.
-inaweza ikatoa au isitoe hiyo ni discretion ya Mahakama, mantiki ya hicho kifungu mahakama inaweza ikatoa au isitoe hiyo amri ya maintenance, Kwa kuangalia mazingira Fulani Fulani kama means ya Mwanamke ya kupata pesa ipoje ana kipato kiasi gani nk.
-eti Unasema Nina Kazi ngumu kushindwa mahakamani, Mimi ni accountant, wewe huna mamlaka ya Kuandika hayo maneno mtu mwenyewe may , shall na discretion hujui maana yake
Nakubaliana na wwPia mwanandoa anaweza kumiliki Mali binafisi, hiyo ipo kisheria na hiyo Mali haigawanywi
Jackline wa Mengi ni mjane, kesi ni ya mirathi na sio ya talakaWewe unambishia kwa nadharia wakati upande wa Pili mwenzako anafanya kwa vitendo, anahudimiwa mke na mtoto hivi uliuona ule mkeka wa Jackline Mengi?
- kama kiingereza Cha shall au may hakikushindi Mbona umeshindwa kuelewa tangu mwanzo?
- busara maana yake mahakama inaweza ikatoa hiyo amri au isitoe, na hiki nimekufurahisha tangu awali zaidi ya mara nne, wewe umesomea nini?