Alejandroz
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 329
- 413
Tumekuwa tukisikia kuwa kwasheria za nchi yetu baada ya ndoa kuvunjika mgao wa machumo ya ndoa ni pasu kwa pasu yaani 50/50,, naomba ufafanue zaidi kuhusu hiliSOMO LA MALI KWA WANANDOA KWA KILICHOTOKEA KWA ACHRAF HAKIMI NA MKEWE.
Bashir Yakub, WAKILI.
+255714047241.
Mke wa ACHRAF HAKIMI ameshindwa kupewa mali yoyote baada ya ndoa yao kuvunjika kwasababu Hakimi aliziandika mali
Shoga yoyote msagaji mzinifu basha watu hawa hawataki kusikia habari ya ndoaSasa ukikataa ndoa,maana yake uzini ovyo !Sio poa ni upumbavu huo wa Kataa ndoa!inaonyesha ulilelewa ama baba,mama peke yake!
Aligundua mapema kuwa ni mwizi
- Wakili, umezungumzia Kuhusu kuandikisha Mali Kwa majina ya wengine eg Mama Ake Hakimi, na kusema kuwa Hana Mali yoyote (Hakimi), hiyo mahakama iliyoamua Hilo shauri ilitakiwa ijiulize inawezekana vipi mtu mwenye kipato Cha zaidi ya Bilioni 2 asiwe na Mali yoyote? Tuseme alikuwa anatumia zote? Mahakama ilitakiwa ijiulize Mama Hakimi ameweza vipi kumiliki ukwasi wa kutisha i.e hizo Mali kama Nyumba? , Mama Hakimi analipwa Bilioni ngapi , Hadi aweze kumiliki hizo Mali?, Mahakama ilitakiwa itoe amri kwa Hakimi atoe matunzo Kwa mke wake
- Hapo Hakimi ametumia false pretense.
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]Wenye mali walitazame hili....
Mi nna miswaki tu na magauni yangu, sihusiki hapa
Huyu jamaa alie kuandikisha mama yake ni dume la mbegu ikitokea akafa mamake alithi mali na ndugu zake bora kuliko mali yake kuliwa na huyo kahaba angeishia kuhonga tuSOMO LA MALI KWA WANANDOA KWA KILICHOTOKEA KWA ACHRAF HAKIMI NA MKEWE.
Bashir Yakub, WAKILI.
+25571404724
Hilo la matunzo hawezi kukwepa, alichokwepa ni Bien kuondoka na mali na matunzo juu
- Wakili, umezungumzia Kuhusu kuandikisha Mali Kwa majina ya wengine eg Mama Ake Hakimi, na kusema kuwa Hana Mali yoyote (Hakimi), hiyo mahakama iliyoamua Hilo shauri ilitakiwa ijiulize inawezekana vipi mtu mwenye kipato Cha zaidi ya Bilioni 2 asiwe na Mali yoyote? Tuseme alikuwa anatumia zote? Mahakama ilitakiwa ijiulize Mama Hakimi ameweza vipi kumiliki ukwasi wa kutisha i.e hizo Mali kama Nyumba? , Mama Hakimi analipwa Bilioni ngapi , Hadi aweze kumiliki hizo Mali?, Mahakama ilitakiwa itoe amri kwa Hakimi atoe matunzo Kwa mke wake
- Hapo Hakimi ametumia false pretense.
Hakuna kifungu chochote cha sheria kinacho mpangia mtu atumieje kipato chake anacho kipata, mahakama inacho hitaji ni nyaraka tu na sio maelezo.
- Wakili, umezungumzia Kuhusu kuandikisha Mali Kwa majina ya wengine eg Mama Ake Hakimi, na kusema kuwa Hana Mali yoyote (Hakimi), hiyo mahakama iliyoamua Hilo shauri ilitakiwa ijiulize inawezekana vipi mtu mwenye kipato Cha zaidi ya Bilioni 2 asiwe na Mali yoyote? Tuseme alikuwa anatumia zote? Mahakama ilitakiwa ijiulize Mama Hakimi ameweza vipi kumiliki ukwasi wa kutisha i.e hizo Mali kama Nyumba? , Mama Hakimi analipwa Bilioni ngapi , Hadi aweze kumiliki hizo Mali?, Mahakama ilitakiwa itoe amri kwa Hakimi atoe matunzo Kwa mke wake
- Hapo Hakimi ametumia false pretense.
Kwa Sheria za Tanzania, ni jukumu la mwanaume kumtunza mke wake hicho kifungu kipo kwenye Sheria ya Ndoa,Hakuna kifungu chochote cha sheria kinacho mpangia mtu atumieje kipato chake anacho kipata, mahakama inacho hitaji ni nyaraka tu na sio maelezo.
Kuhusu matunzo anaye takiwa kutunzwa ni watoto na sio mke
Kuna watu waasherati kama wanandoa??? Haujawahi kumcheat shemeji? Au mara moja moja haina shida sana jamaa.Sasa ukikataa ndoa,maana yake uzini ovyo !Sio poa ni upumbavu huo wa Kataa ndoa!inaonyesha ulilelewa ama baba,mama peke yake!
Relax mwanandoa.Huyo ni mfuasi wa punyeto hutamuweza achana nae
Kwanini mke apewe matunzo wakati ndoa imeshafika mwisho na tena hawana watoto.
- Wakili, umezungumzia Kuhusu kuandikisha Mali Kwa majina ya wengine eg Mama Ake Hakimi, na kusema kuwa Hana Mali yoyote (Hakimi), hiyo mahakama iliyoamua Hilo shauri ilitakiwa ijiulize inawezekana vipi mtu mwenye kipato Cha zaidi ya Bilioni 2 asiwe na Mali yoyote? Tuseme alikuwa anatumia zote? Mahakama ilitakiwa ijiulize Mama Hakimi ameweza vipi kumiliki ukwasi wa kutisha i.e hizo Mali kama Nyumba? , Mama Hakimi analipwa Bilioni ngapi , Hadi aweze kumiliki hizo Mali?, Mahakama ilitakiwa itoe amri kwa Hakimi atoe matunzo Kwa mke wake
- Hapo Hakimi ametumia false pretense.
Kutunza mwanamke mlio achana ni kwamba anakuwa anapitia kwenye mgongo wa matunzo ya watoto.Kwa Sheria za Tanzania, ni jukumu la mwanaume kumtunza mke wake hicho kifungu kipo kwenye Sheria ya Ndoa,
Na pia kipo kifungu Cha sheria kinachosema mume anaweza kumtunza mke na watoto walioachana.
Kutunza mwanamke mlio achana ni kwamba anakuwa anapitia kwenye mgongo wa matunzo ya watoto.
Lakini iwapo mtaacha na asibaki na watoto basi huna jukumu lolote la kumtunza.
Umefurahi kwa kuwa una furaha.Sijui Kwa nini mmefurahi ila mmefurahi tu