Somo la meditation: utajuaje kama unafanya kwa sahihi?

Nilitaka nijaribu ila nimeogopa,nisije nikahisi natumbukia kwenye shimo refu bure uwiiii nitakufwa kwa presha,mi ni muoga kweli hata kwa vitu vya kufikirika
Hapana nakushauri jaribu
 
Mshana, meditation inaeza kukufanya ukapata kazi kama ulkuwa unatafta kaz kivipi?? Nlisoma kwa post zako, I mean wkt wa kumedetiate uwe unawaza kaz uipendayo au? Nieleweshe hapo
Hapana lakini inakusaidia kufanya mind cleansing...
 
Mimi pia hayo hutokea sana mara nyingi kwangu pia, ila kwa sasa hali hiyo inaanza kupotea.
Kuna siku baada ya kutoka kumeditate nilijikuta nimetokwa na manii
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] safi
 
Nyama hukomaza misuli hivyo kusababisha posture za meditation kuwa ngumu.. Lakini pia nyama husababisha hasira
Nyama ilisababisha manung'uniko kwa wana wa israel kipindi wanahama kwenda Kaanan njiani wakikosa msosi wanaanza kulaum bora wangebaki Misri tu wakawa watumwa lakini wale nyama!!
 
link uliyoweka nimeifungua kupitia Google ndo inaishia hivi!? Ni kama imeishia hewani vile!!"

Haya yaweza kuwa rahisi kuyasoma lakini practice ikawa ngumu lakini msingi wa meditation huanzia huku
Weza kuji control kwenye muda Weza kuji control kwenye lishe na Weza kuji control kwenye kufanya jambo moja kwa wakati mmoja baada ya hapo tutapeana hatua inayofuata
 
Kaka mshana jr, mbona Mimi nikifanya tumbo linaanza kuniuma?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
kwa upande wangu kwa kweli huwa napendeleaga ile Meditation ya kulala sababu ile ya kukaa imenishinda mkao ule, as shida inakuja pale napoconcentrate na punzi najikuta naiona hali ya kawaida mpk nazoea nathing weard is hapenig mpaka naishia kulala kabisa some times, yan sijui nakosea wap kaka hebu nipe msaada tafadhali.
 
Hhahahaa hapa ulimtisha dogo hukumsaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…