Sophia Mjema ateuliwa kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM

Daniel Chongolo - Katibu Mkuu

Anamringi Macha - Naibu Katibu Mkuu Bara

Naibu Katibu Mkuu Zanzibar
Said Mohamed Dimwa

Ndugu Sophia Mjema
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa Itikadi na Uenezi

Dkt. Frank Haule
Katibu wa Uchumi na Fedha

Mbarouk Nassor Mbarouk
Mkuu wa Idara ya Kimataifa

Issa Haji Gavu
Idara ya Organaizeisheni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CCM yenyewe ni "choo cha kike".
 
Lile tutufe? Siasa za sasa za kisomi haziwezi yule!

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Ndugu Chakaza , kwa CCM hii ya sasa, ni nani ambaye ni mwenye uwezo ambaye akiteuliwa ataitendea nafasi yake haki!!??
CCM ya 1990s na kurudi nyuma angalau ndiyo ilikuwa na watu wenye uwezo ambao walizitumikia nafasi zao bila ya kuendeshwa na mihemko na tumbo.
 
Ccm Huwa wanashangaza sana au pengine Kwa kuwa wanajua wataiba kura au?

Unawezaje kuwatoa watu wenye ushawishi na wanaojua kujenga hoja kama kina Shaka na Bulembo ukawela hao wengine wasiojua kujieleza?
 
Katibu mkuu ccm kazi yake kuhubiri jukwaani!?...teuzi ni wingi umoja wake ni uteuzi,hongera kwa kujua ccm wanahitaji nini kuliko ccm wenyewe
 
Bado hujaamini tu ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…