Sophia Mjema ateuliwa kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM

[emoji38][emoji38][emoji38]
 
CCM imeelekea kaskazini na Zanzibar sasa. Ngoja kanda ya ziwa waje na lao.
 
Wizara ya TAMISEMI irudi kwa mtendaji mkuu wa serikali yaani Waziri Mkuu...Kuwa na serikali zote mbili constitutional na local kwenye ofisi ya Rais, ni centralization ya ajabu kinyume kabisa na malengo....Ndiyo inayomwondolea power Waziri Mkuu ya kuwajibisha watendaji, huku Mh. Rais akisongwa na kazi nyingi za kitaifa na kimataifa

Kisha Wenyeviti wa vijiji na raia wote through General Assembly waelimishwe power yao waliyo nayo kikatiba...Kwa sasa kuna watendaji wanawa bagaza hao kwakua tu raia hawajui haki zao
 
Shaka Hamdu Shaka anaenda kuwa Katibu Mkuu wa Maliasili na Utalii/ TAMISEMI
 
Naona wameruhusu mikutano ya siasa wanabadilisha na Katibu Mwenezi, wameona watafute mtu wa kuendana na kasi ya upinzani, waachane na mentality za kichawa..

Shaka alikuwa "mweupe" sana.
Labda wanampa ubunge kisha uwaziri
 
Kichaka Hamdu Chaka alikuwa chaka kweli kweli tena chawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…