Sophia Mjema ateuliwa kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM

Usikute leo siku ya wajinga duniani?
 
Bora wangemrudisha Nape, huyu hamna kitu.
 
Aisee shaka mzee wa kitaulo out, bora maana alikua hajui cha kusema anaropoka tu hovyo
 
..Nadhani Ssh amelenga kura za wanawake.

..kwa hiyo mwenezi akiwa mwanamke inaweza kusaidia kuwavutia wanawake kuiunga mkono Ccm.
Akileta Katiba mpya hata mimi nitajitolea kumpigia kampeni kufa na kupona...Na tena kwa njia ambayo she will never think is possible...Rahisi sana kuzoa kura zote za watanzania kama tu utaenda strategically kule grass roots...Lakini bila Katiba Mpya nimeshaweka sandukuni hadi kadi yangu ya chama...I wont do nothing inayohusiana na politics
 
Dah.. Vile vichwa vilivyokuwa vinajipitishapitisha mitandaoni vimeliwa vyote
 
Dah.. Vile vichwa vilivyokuwa vinajipitishapitisha mitandaoni vimeliwa vyote
 
..Nadhani Ssh amelenga kura za wanawake.

..kwa hiyo mwenezi akiwa mwanamke inaweza kusaidia kuwavutia wanawake kuiunga mkono Ccm.
Mawazo hayo yanaweza kumpa mrejesho hasi
 
Dah.. Vile vichwa vilivyokuwa vinajipitishapitisha mitandaoni vimeliwa vyote
 
..tatizo ni kwamba amesalimu amri na kuamua kwamba Katiba Mpya na Tume Huru ni ajenda ya Chadema.

..Kwa mfano, sijawahi kumsikia akichangia hoja yoyote kuhusiana na mabadiliko ya kikatiba anayotamani yatokee Tanzania.
 
Hongera SANA kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…