Soseji zapigwa marufuku nchini Korea Kaskazini!

New York Post, The Mirror na Dail Maily wameandika pia.
Sun, mirror, daily mail ni gazeti moja majina tofauti, yote ya udaku.

Pia hotdog sio sausage ni vitu viwili tofauti.

Sausage ni chakula cha Asili kwenye jamii za kikorea na China, watu wa zamani walitumia sausage ku preserve nyama isioze.

North Korea Sausage ni street food, ni kama Hapa Tanzania unavyoona mishikaki.

View: https://m.youtube.com/watch?v=xGzSNB5UaC8
Hawezi kuban sausage na wala haimake sense kwake kuban,
 
Kun mifupa ilipimwa south Afrika ya zamani sana iligundulika baadhi walikufa kwa cancer

Cancer ni ugonjwa wa siku nyingi sana sahivi upo sababu tu ya uwepo vipimo- mfano sahivi kuna watu wana-sukari ili hawajui wanakuja kujua iko dakika za mwisho
 
Mkuu swali dogo.
Ulishawahi kusikia Mhadzabe anaumwa kansa au kisukari?
Au ndo vipimo bado havijafika huko?
Wewe ulishawahi kusikia Wakonongo wanaumwa kansa au kisukari??
 
Kwako ni uongo sbb hujui kitu chochote kuhusu Food industries wala beverage industries, ww ni mlaji tu, hujui anything.
Wewe ni muongo unadanganya watu eti vyakula vya mcdonald haviozi

Tena vyakula vya asili ndo vinachukua mda mrefu kuoza mfano viazi vya asili vinakaa mda mrefu bila kuoza

Nyanya za asili zilikua zinakaa mda mrefu bila kuoza same kwa karoti

Vyakula vya kisasa ndani ya mda mfupi sana vinaanza kuharibika
 
Unawapimaga au ni hisia zako
Wale jamaa ulishawahi ona kuna hospitali karibu na jamii zao?
Ulishawahi kuona wahadzabe wakilalamika hawana hospitali?
Ulishawahi kuona mmasai ndani ya rubega yake akienda hospitalini labda kama ni mlinzi.
Bro vyakula wanavyokula vinafanya wawe resistant kwa magonjwa hasa yale yasiyoambukiza.
 
Junk food ni chakula cha aina gani?
What is junk food?
 
Wagonjwa wengi wa cancer wanaijua ikiwa stage za mwishoni

Ugonjwa kama cancer mara nyingi ukianza hauwezi jua kama sio mtu wa kupima
 
Your browser is not able to display this video.
 
Kwani mtu asipokula soseji anakufa
Kwani akila soseji anakufa?

Halafu nani kampa Kim Kiduku mamlaka ya kupangia watu vyakula vya kula?
 
Wagonjwa wengi wa cancer wanaijua ikiwa stage za mwishoni

Ugonjwa kama cancer mara nyingi ukianza hauwezi jua kama sio mtu wa kupima
Na hiyo cancer inasababishwa na lifestyle ya mtu. Watu wengi wanaoishi mjini wanaumwa kansa kutokana na vyakula wanavyokula na kansa inashambulia wadada wengi wa mjini kutokana masuala ya vipodozi. Mfano wale wanaoweka ngozi zao kwenye mionzi.
 


Narudia tena, hujui somo la vyakula, you are mixing up yourself kwa Organic, processed foods, and GMOs wala hujui unaongea nini, wewe ni wale type ya watu wabishi wasiweza jifunza, hujui na utabakia hujui chochote, so kaa hivyo..!!
 
anawatetea wananchi wake wasile nafsi zao kosa lake liko wapi
 
Wastani wa miaka ya kuishi(average life expectancy) ya Wahadzabe na jamii nyingi indigeneous duniani ni miaka 32.
 
Ujamaa ni mfumo wa utawala unaomfanya kiongozi wa juu aonekane mkubwa kupita kiasi.

Nchi za kijamaa Serikali ina fedha ila raia ni makapuku.


Wananchi wa kawaida wanatabika mno huku watawala wakiwatenda watakavyo bila kuhojiwa.
Samahani, Korea Kaskazini ni Wajamaa au Komunisti? Maana wanasema Sweden, Norway ni Socialist (Wajamaa). Au ujamaa wa Korea Kaskazini ndio Ujamaa uchwara wenyewe?
 
Na hiyo cancer inasababishwa na lifestyle ya mtu. Watu wengi wanaoishi mjini wanaumwa kansa kutokana na vyakula wanavyokula na kansa inashambulia wadada wengi wa mjini kutokana masuala ya vipodozi. Mfano wale wanaoweka ngozi zao kwenye mionzi.
Cancer haisababishwi tu na lifestyle inadhaniwa hivyo ila Hakuan dunuani anayejua hasa sababu kuu ya cancer ni ipi ni fumbo
 
Wastani wa miaka ya kuishi(average life expectancy) ya Wahadzabe na jamii nyingi indigeneous duniani ni miaka 32.
Ushahidi?
Na kama ni 32 mbona leo kuna wamasai wazee kibao na hata ukienda vijijini wengi wanaoishi huko ni wazee waliokula chumvi ya kutosha?
 
Soseji ni malaji ya kissenge wacha apige marufuku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…