Kakumamoto
JF-Expert Member
- May 6, 2015
- 1,237
- 1,696
Hii ni kweli? Au ndio conspiracy yenyewe?! KIKEN'NA!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni kweli? Au ndio conspiracy yenyewe?! KIKEN'NA!
Nimekuambia jamii "nyingi" indigeneous, halafu fahamu Wamasai ni wafugaji na wafanyabiashara, ni jamii inayaoingiliana na watu wengine wa nje sana labda hata kuliko jamii yako ya huko Namtumbo.Ushahidi?
Na kama ni 32 mbona leo kuna wamasai wazee kibao na hata ukienda vijijini wengi wanaoishi huko ni wazee waliokula chumvi ya kutosha?
Sisi na Korea Kaskazini ni MAZOMBI wa WATAWALA. China na Urusi kuna ka unafuu kidogo. WATASHI O SHINJITE.Mwl. Nyerere katika kuunda Mfumo wa Utawala wa CCM pamoja na Mfumo wa Utawala wa Serikali katika nchi hii ya Tanzania aliiga Mifumo ya Utawala kutoka Korea ya Kaskazini, China na Urusi (USSR).
Watanzania na raia wa China, Urusi au Korea ya Kaskazini hatuwezi kuchekana, Wananchi wote katika nchi hizi ni MATEKA WA WATAWALA.
Kwahiyo ukiingiliana na watu wa nje lifespan yako inaongezeka sio?Nimekuambia jamii "nyingi" indigeneous, halafu fahamu Wamasai ni wafugaji na wafanyabiashara, ni jamii inayaoingiliana na watu wengine wa nje sana labda hata kuliko jamii yako ya huko Namtumbo.
Sembe ni kwa ajili ya wanyamwezi tu, na kwa huko kwetu wanyamwezi kutoka bara ndio asili yao ngunaNani anaamua haya ni malaji ya kisenge au sio ya kisenge?
Kwa hiyo akija mtawala Tanzania anayeamini sembe ni malaji ya kisenge ugali upigwe marufuku??
Wewe ni muongo unadanganya watu eti vyakula vya mcdonald haviozi
Tena vyakula vya asili ndo vinachukua mda mrefu kuoza mfano viazi vya asili vinakaa mda mrefu bila kuoza
Nyanya za asili zilikua zinakaa mda mrefu bila kuoza same kwa karoti
Vyakula vya kisasa ndani ya mda mfupi sana vinaanza kuharibika
Mkuu upo sahihi. Yale maapple yanakuwa processed ili liweze kusafirishwa kutoka nchi fulani, likae bandarani, mfanyabiashara aje alinunue ndo akuuzie . So mpaka unakuja kulitia mdomoni limeshakaa siku nyingi.Kaka unaweza kuwa sahihi kwa unachosema, ila binafsi nimewahi kuweka apple ndani, likachukua muda kama wa tatu bado zima na nikalila. Ila ukichukua apple la lushoto lingekua limeshaharibika mapema sana. Sababu ni kwamba apple la nje (imported) linapigwa mionzi ili kuuwa vimelea vinavyolifanya liendelee kuiva ili kulipa long shelf life kulinganisha na apple la Lushoto ukilichuma vimelea vinaendelea kuwa hai hivyo linaoza mapema. NIKO TAYARI KUSAHIHISHWA. WATASHI O TEISEI SHIMASHITA
Kwamba watembelee nyota ya TanzaniaLabda wapige goti covid iingilie kati.....
Conspiracy maana yake ni nini?Hii ni kweli? Au ndio conspiracy yenyewe?! KIKEN'NA!
Sio kweli.Mwl. Nyerere katika kuunda Mfumo wa Utawala wa CCM pamoja na Mfumo wa Utawala wa Serikali katika nchi hii ya Tanzania aliiga Mifumo ya Utawala kutoka Korea ya Kaskazini, China na Urusi (USSR).
Watanzania na raia wa China, Urusi au Korea ya Kaskazini hatuwezi kuchekana, Wananchi wote katika nchi hizi ni MATEKA WA WATAWALA.
Watamlalamikia nani sasa? Na wataanzaje kulalamika ikiwa hawaruhusiwi kuongea?Japokuwa wakorea wanawekea sheria kali na rais wao lakini hawalalamiki kuhusu mashule, maji na miundombinu kama sisi .
Siyo kama hawalalamiki kwakuwa wamezuiwa lakini wao washajitosheleza kwenye vitu hivyo hawana shida ndogondogo kama sisi. Kama nchi inamiliki manuclear unafikiri itakuwa na shida kama za huku Tz.Watamlalamikia nani sasa? Na wataanzaje kulalamika ikiwa hawaruhusiwi kuongea?
Eti, inashangaza, yaani watu wengine akili hamna kabisa. Unaeneza propaganda za ajabu kiasi hicho?Kwa akili yako mtu akiri kuuwa watu mia tatu alafu mamlaka zimuangalie tu
Bishana na Who mwenyeweHaya ni mawazo yako na ni uongo
Mambo sio marahis hivyoBishana na Who mwenyewe
![]()
Aspartame hazard and risk assessment results released
Assessments of the health impacts of the non-sugar sweetener aspartame are released today by the International Agency for Research on Cancer (IARC) and the World Health Organization (WHO) and the Food and Agriculture Organization (FAO) Joint Expert Committee on Food Additives (JECFA).www.who.int
Hio ni Aspartame, Artifical sweetener ambayo inatumika bidhaa zaidi ya 6000 duniani kote, Who kila siku inapiga kelele kuna mahusiano baina ya hio sweetener na Cancer ila yanatoka majibu rahisi rahisi toka kwa watu wa marketing.
Baadhi ya Bidhaa zinazowekwa hizo sweetener ni kama Coka na Pepsi (Zero) big G, Ice cream, Cereal based products kama cerelac, cornflakes etc.
Kupinga Bidhaa za kisasa haziji na magonjwa ni ujinga tu, kuna tafiti kibao zinaprove hili.
Sawa lakini inaongeza huo upatikanaji.Mambo sio marahis hivyo
Ingekua hivyo wavuta sigara wote wangepata cancer ya koo au mapafu lakin wanaopata ni wachache
Swala la magonjwa ni swala mtambuka
Sipingi takwimu zako ila fahamu huku watu wengi bado hawapimi wakiumwa mpaka wanafarikiSawa lakini inaongeza huo upatikanaji.
Kama umesoma hio report ya Who kila watu 6 wanaokufa mmoja anakufa na Kansa,
Na ukiangalia rate ya Kansa Nchi zinazokula processed food wanakufa zaidi na Kansa kuliko nchi masikini, sio coincidence mkuu.
View attachment 3196577
Majibu rahisi kama yapi?Bishana na Who mwenyewe