Uchaguzi 2020 Special Thread: Harakati za kampeni za mgombea Ubunge Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima

Mbunge mtarajiwa wa Kawe. Ukae au usimame.
 
Uchungali kaweka mfukoni
 
Tupia na ile picha ya huyo Gwajiporn akimtafuna mmoja wa kondoo wake!
 
Anapajua au anaigiza kupakia.
 
Inawezekana Gwajima ni tishio Sana kwenye huu uchaguzi maana ni mmoja wa wagombea wanaozungumzwa Sana.
Naona nyuzi za Lisu na Magufuli ni nyingi unapata picha hawa mmoja wao atashinda.
Na ninapoona nyuzi nyingi za Gwajima napata picha huenda Huyu Jamaa atakua mbunge maana nguvu inayotumika kumuongelea ni kubwa Sana.

Sent from my Infinix X603 using JamiiForums mobile app
 
Unabii unatoka kwa Roho wa Mungu Kwahiyo wa uongo anamjua yeye. Kwenye Ubunge wana Kawe wenyewe wataamua. Mbona huo Uconman haukusemwa enzi alipokuwa mpiga debe wa Mdee?!?
Wapi nimewai kumuunga mkono Gwajima???
 
Aiseee ame advance kutoka sanaa za utupu na kondoo wake mpaka sanaa za upakiaji mchanga na maigizo ya kula samaki , amebakiza maagizo ya kula mahindi na kurenew maaigizo ufufuaji watu
 
Nampongeza sana mjanja Gwajima kwa usanii na kujiamini,maisha yenyewe mafupi ukipata mazuzu ya kuyatumia unayatumia tu biblia haijakataza.
 
Gwaji akikosa ubunge lazima awe chizi sijuwi atasema ni majaribio ya shetani
 
Ila jamaa anawatetemesha sana Chadema.
 
Unaweza dhani Bishop kaudharirisha ulokole baada ya kuingia ktk utapeli ila kiukweli kajidharirisha mwenyewe.

Yesu aliwataja watu wa aina ya bishop Gwaji na akasisitiza kuwa mtawajua kwa matendo yao.
 
Wale bodyguards 30 aliokwenda nao CLOUDS TV enzi zile wapo wapi sasa? BongoMovie!
 
Mie nachompendea gwajima ni utaalamu wake wa kufufua watu,,
Wanakawe mkimchagua huyo hakuna kufa tena...
 
Zee lile kipindi kile lilikunywa maji ya kandoro likiwa chadema..sijui ni lowasa yule.🤣🤣
Siasa ni maigizo ya msimu aisee.
 
Anaesema gwajiba ni mtume/ nabii hebu aje hapa tutoane kamasi maana mimi najua ni msanii kama akina mpoki na joti ( ila Mpoki na joti hawana dhambi alizonazo huyu msanii)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…