n-propanol
JF-Expert Member
- Apr 7, 2019
- 5,349
- 7,000
Mbunge mtarajiwa wa Kawe. Ukae au usimame.Kiongozi mkuu wa kanisa la ufufuo na uzima na mgombea ubunge jimbo la Kawe kwa tiketi ya CCM askofu Gwajima alitembelea kempu ya kupakia mchanga na kuwasaidia kupakia.
Vile vile alifanikiwa kuwatembelea wajasiriamali wauzaji wa samaki kijiweni na kujipatia kitoweo cha samaki (ile ya kurumangia ugali)na kula hapo hapo.
My take
Awamu hii tutaona mengi.
View attachment 1559103
View attachment 1559107