Rejea Kichwa cha Habari hapo juu,
Ashukuriwe Mungu muweza wa yote kwa kuwarejesha salama wapiganaji wetu waliorejea na watakaorejea kutoka nchi tofauti kama Jamuhuri ya Africa ya Kati, Jamuhuri ya Kidemocrasia ya Congo, Lebanon, Sudan n.k katika Majukumu yao ya kulinda amani.
Kimomwe Motors (T) Ltd kwa mapenzi makubwa na ya dhati kwa ndugu zetu hawa, imeamua kuwaagizia magari kwa ofa maalum ambapo kila atakayefika ofisini kwetu na kuagiza gari atapewa kiasi chote cha punguzo ambacho Kimomwe Motors hupewa na kampuni za nje kwa kila gari inapoagizwa. Mfano, kama tunapata punguzo Dola 300, moja kwa moja Mwanajeshi huyu atapata punguzo la hiyo dola 300 na wakati huo huo hatalipia pesa yoyote ya ziada kwani mchakato mzima hufanyika kwa uwazi kwa kuangazia Gharama ya manunuzi na Usafiri (CIF), Ushuru (TRA), Na Gharama za Bandari.
Kwa maelezo zaidi tembelea Ofisi zetu zilizopo Magomeni Mapipa au piga namba 0746 267740