Special thread: Kutana na waagizaji wa magari kutoka Japan
Kwa mfano Rav. Napata kwa bei gani sasa? Mi nimetoka kulinda Amani hukooooo,nije sasa hivi hapo ofisini.
Boss gari zinatofautia gharama za jumla kutegemea na muuzaji nje na gharama za ushuru bandarini, hivyo ni vizuri ukafika ofisini tupate kufaham Rav 4 ipi unataka pamoja na sifa zake, halafu tutaangalia kwa pamoja kutoka kampuni zaidi ya 15 za Japan na hapo utakuta gharama tofauti tofauti kulingana na muuzaji husika

Kama hutajali tupigie sim namba 0746267740
 
Ili nijiridhishe nitolee mfano wa bei halisi na hiyo uliyoweka punguzo au hiyo ni ngumu bro.
 
Ili nijiridhishe nitolee mfano wa bei halisi na hiyo uliyoweka punguzo au hiyo ni ngumu bro.
Old Model kwa wastani huaguzwa kwa 17m boss, baada ya punguzo utaipata kwa 15.5m, ile ya kuanzia mwaka 2000 mpaka 2005 inafika kuanzia 18m, hii tutakufikishia kwa 16.8
 
Salama wanabodi,

Gari hii ni ya kuagiza, kwa sasa iko Japan. Gharama yake ni nafuu hivyo tumeona ni vizuri tukawajulisha wadau juu ya unafuu huu.

Toyota Coaster ya Mwaka 1996, Seat 29, Diesel, Automatic, Injini 1HZ, Kilomita 282,000. Mpaka inafikia mteja itagharimu Tsh 43.9m Hii haina marekebisho.

17C8C278-24BE-458C-9871-2E46398AD586.jpeg
E89A9A8D-3531-4845-B9B1-6897558BE8F0.jpeg
2A831BC3-4373-4930-A5DD-6DFECB1E1DAF.jpeg
73DEB6EE-91AB-4A31-BF84-4EEFC72BFCF1.jpeg
B3037940-F782-4348-AF44-EF92BC2C8AFD.jpeg
3657309C-68CD-4525-B328-DE96E84338DE.jpeg
D0F0DAF7-0C99-4CB4-9B3D-ADC3F34D9D1A.jpeg
B4742391-B456-4BAC-A157-FB436BEFEFE0.jpeg
B0834D47-4F2E-4483-AEEE-E9B56CF6A25E.jpeg
85A39156-F34A-4D53-9743-67EB2B5008FA.jpeg
1D37C72B-4213-4576-A0B7-0A120B8482A6.jpeg
C866A79D-28E0-4C6B-B589-9AAA19F1CE83.jpeg

Piga simu namba 0746 267740 au tembelea ofisi zetu zilizopo Magomeni Mapipa.
 
Na Mimi niliyetoka mission Buguruni kwa Wahaya napata ofa gani?
😂😂😂tutakukumbusha kuna maisha baada ya kifo hivyo usijisahau, mwishowe tutakupatia kinga madhubuti ili ukishindwa kabisa kujizuia basi upunguze kasi ya kupata maradhi😎😎
 
Kwahiyo kumbe hawa majamaa yakitoka huko nje ya nchi kitu cha kwanza ni kukimbilia kununua magari...?
Vizuri ukatumia lugha ya heshima na staha boss. Kila mtu yuko huru kutumia pesa yake vile anataka na hayupo wa kumshauri wala kumpangia. Na si kwamba tumewapa ofa hii kwa kua tunahisi wanarudi na pesa, tumewapa ofa hii kama sehem ya kutambua kujitoa kwao kwa ajili ya wengine. Aliye tayari kumiliki au kubadiri gari atatutafuta
 
Wewe umejuaje kuwa wa,merudi kutoka kwenye hizo mission zao...?
 
Naona siku hizi unaitaja taja JW kila mara,watch out-alisikika bwn mmoja.

Hatuoni kama ni dhambi kwa sisi kama kampuni halali ya kitanzania kuonesha mapenzi yetu ya dhati ya kuhudumia umma wa watanzania na haswa hawa ndugu zetu boss. Labda kwa kutusaidia tusiendelee kwenda kinyume na kanuni au taratibu za taasisi kwa watumishi wake, ungeweka elimu zaidi au sheria inayokataza kampuni kutotangaza ofa zake kwa watumishi kutoka tasisi kama hii.
 
Back
Top Bottom