KIMOMWEMOTORS
JF-Expert Member
- May 17, 2018
- 358
- 675
- Thread starter
- #101
Kwetu kila mtu ni wa maana sana, kwanza tunaomba kufaham Policcm ni kundi lipi mkuu?Okay wanakuja mkuu!! Vipi kuhusu policcm? Au sie hatuna maana sana kwenu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwetu kila mtu ni wa maana sana, kwanza tunaomba kufaham Policcm ni kundi lipi mkuu?Okay wanakuja mkuu!! Vipi kuhusu policcm? Au sie hatuna maana sana kwenu?
Hilo sisi hatulijui, kuna wachache wametutembelea wakajitambulisha wametoka mission nje hivyo tukaona ni vyema tuwapatie wote ofa kwa wale watakao kua na uhitaji wa magari.Kwakuwa watakuwa na mafao yao kutoka UN au siyo?
Sawa Mkuu kwahiyo watu wa kawaida wasiotoka mission hiyo offer ya usd 300 haiwahusu?Hilo sisi hatulijui, kuna wachache wametutembelea wakajitambulisha wametoka mission nje hivyo tukaona ni vyema tuwapatie wote ofa kwa wale watakao kua na uhitaji wa magari.
Boss gari zinatofautia gharama za jumla kutegemea na muuzaji nje na gharama za ushuru bandarini, hivyo ni vizuri ukafika ofisini tupate kufaham Rav 4 ipi unataka pamoja na sifa zake, halafu tutaangalia kwa pamoja kutoka kampuni zaidi ya 15 za Japan na hapo utakuta gharama tofauti tofauti kulingana na muuzaji husikaKwa mfano Rav. Napata kwa bei gani sasa? Mi nimetoka kulinda Amani hukooooo,nije sasa hivi hapo ofisini.
Usd 300 ni mfano tu boss kutegemea na thamani ya gari. Inaweza kua pungufu ya hapo au ikazidi hapo boss. Kwa sasa hili punguzo ni maalumu kwa kundi hili, zaidi waweza kutupigia sim au kufika ofisini kwetuSawa Mkuu kwahiyo watu wa kawaida wasiotoka mission hiyo offer ya usd 300 haiwahusu?
Ili nijiridhishe nitolee mfano wa bei halisi na hiyo uliyoweka punguzo au hiyo ni ngumu bro.Boss gari zinatofautia gharama za jumla kutegemea na muuzaji nje na gharama za ushuru bandarini, hivyo ni vizuri ukafika ofisini tupate kufaham Rav 4 ipi unataka pamoja na sifa zake, halafu tutaangalia kwa pamoja kutoka kampuni zaidi ya 15 za Japan na hapo utakuta gharama tofauti tofauti kulingana na muuzaji husika
Kama hutajali tupigie sim namba 0746267740
Aseee..so target yako ni wajeda?
Old Model kwa wastani huaguzwa kwa 17m boss, baada ya punguzo utaipata kwa 15.5m, ile ya kuanzia mwaka 2000 mpaka 2005 inafika kuanzia 18m, hii tutakufikishia kwa 16.8Ili nijiridhishe nitolee mfano wa bei halisi na hiyo uliyoweka punguzo au hiyo ni ngumu bro.
Ok thanksOld Model kwa wastani huaguzwa kwa 17m boss, baada ya punguzo utaipata kwa 15.5m, ile ya kuanzia mwaka 2000 mpaka 2005 inafika kuanzia 18m, hii tutakufikishia kwa 16.8
😂😂😂tutakukumbusha kuna maisha baada ya kifo hivyo usijisahau, mwishowe tutakupatia kinga madhubuti ili ukishindwa kabisa kujizuia basi upunguze kasi ya kupata maradhi😎😎Na Mimi niliyetoka mission Buguruni kwa Wahaya napata ofa gani?
Ni rahisi boss. Hivyo tutajitahidi kujaribu kua makini ili walengwa wapate haki yaoWewe utajuaje kama ni askari jeshi au familia???
Vizuri ukatumia lugha ya heshima na staha boss. Kila mtu yuko huru kutumia pesa yake vile anataka na hayupo wa kumshauri wala kumpangia. Na si kwamba tumewapa ofa hii kwa kua tunahisi wanarudi na pesa, tumewapa ofa hii kama sehem ya kutambua kujitoa kwao kwa ajili ya wengine. Aliye tayari kumiliki au kubadiri gari atatutafutaKwahiyo kumbe hawa majamaa yakitoka huko nje ya nchi kitu cha kwanza ni kukimbilia kununua magari...?
Wewe umejuaje kuwa wa,merudi kutoka kwenye hizo mission zao...?Vizuri ukatumia lugha ya heshima na staha boss. Kila mtu yuko huru kutumia pesa yake vile anataka na hayupo wa kumshauri wala kumpangia. Na si kwamba tumewapa ofa hii kwa kua tunahisi wanarudi na pesa, tumewapa ofa hii kama sehem ya kutambua kujitoa kwao kwa ajili ya wengine. Aliye tayari kumiliki au kubadiri gari atatutafuta
Hatuoni kama ni dhambi kwa sisi kama kampuni halali ya kitanzania kuonesha mapenzi yetu ya dhati ya kuhudumia umma wa watanzania na haswa hawa ndugu zetu boss. Labda kwa kutusaidia tusiendelee kwenda kinyume na kanuni au taratibu za taasisi kwa watumishi wake, ungeweka elimu zaidi au sheria inayokataza kampuni kutotangaza ofa zake kwa watumishi kutoka tasisi kama hii.Naona siku hizi unaitaja taja JW kila mara,watch out-alisikika bwn mmoja.
Kwanini vyombo hivi hupendelewa zaidi na watu kutoka Taasisi za Ulinzi haswa wa Jeshi la Wananchi?
Salam wana jukwaa. Kwa maoni yetu zifuatazo ni sababu za kwa nini walinda amani wetu hupendelea zaidi gari za aina flani kuliko aina nyingine kwa gari zote za biashara na binafsi. 1. Toyota IST, Toyota Vitz, Toyota Starlet, Run X, Allex na Raum na Subaru Impreza. Hizi hupendelewa zaidi kwa...www.jamiiforums.com