Special thread: Kutana na waagizaji wa magari kutoka Japan
Wengine tunapunguza sauti ya TV/redio pale tukihisi harufu ya kitu kuungua ndani ya nyumba. Wanasayansi bado wanatafiti hali hiyo husababishwa na nini! 😁
 
Zawadi ya Christmas na Mwaka Mpya kwa wana Mbeya na Mikoa ya Jilani kutoka Kimomwe Motors Waagizaji wa Magari.

Tawi letu la Mbeya sasa liko tayari kukuhudumia

Soko Kuu la Mwanjelwa, Chumba namba 236.

0746267740

E600F896-C4BA-4F43-A6C5-0B0EB4A446CB.jpeg
 
Hii Pajero pia tumemuagizia mteja na kwa sababu ya kubanwa na Majukumu alishindwa kuja kuipokea ndani ya mda. Tumeihifadhi kwa zaidi ya wiki 3 sasa, kesho Mungu akijaalia tutamkabidhi mzigo wake.

View attachment 1300164View attachment 1300165View attachment 1300166View attachment 1300167View attachment 1300168View attachment 1300169View attachment 1300170
, shukrani boss nimebarikiwa na picha hizi, hii ni ya mwaka gani na gharama mpaka kumfikia mteja inafika milioni ngapi tafadhali..??
 
Baada ya kufungua tawi letu jipya Jijini Mbeya, Kimomwe Motors (T) Ltd ambao ni waagizaji wa Magari tunapokea maombi ya kazi UPANDE WA MAUZO NA MASOKO kwa vijana wenye sifa zifuatazo:-

1. Umri kati ya miaka 21 - 35
2. Elimu kuanzia Form 6 au Diploma
3. Uzoefu kuanzia mwaka mmoja
4. Awe mkazi wa Mbeya

Wenye sifa hizo watume CV kwenye email r.christopher@kimomwemotors.co.tz au wazipeleke ofisi zetu ndogo zilizopo Soko Kuu Mwanjelwa jengo kuu Chumba Namba 236.

Wanawake wanahamasishwa zaidi kutuma maombi.
 
kampuni iko moto, Mungu awapeni afya ba baraka tele mfikie malengo.

kula la kheri.

mtukumbuke na sisi wa Kagera.

tunaona IT zikiongozana kuvushwa burundi na Rwanda. tengemezeni fursa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani sana ndugu. Tutafika maeneo yote ya nchi, tunaenda hatua kwa hatua. Tumedhamiria kuhudumia nchi nzima na kurahisisha maisha ya watanzania wote watakaohitaji magari kwa kuagiza.

Nchi jilani pia wanaona huduma zetu nao tunawaagizia mmoja mmoja, siku za mbeleni tutaeahudumia mamia kwa maelfu Mungu akijaalia.
 
Mbeya Branch is Ready to serve People across the city and nearby Regions. Kimomwe Motors (T) Ltd Save Time Save Money🔥

Tawi la Mbeya liko tayari kuhudumia wakazi wa Jiji hilo na Mikoa jilani. Kimomwe motors (T) Ltd Okoa Mda Okoa Pesa.

Tuko Soko Jipya la Mwanjelwa chumba namba 236 ghorofa ya kwanza. Zaidi piga 0746267740

CD490107-D4B6-41BE-88AF-A9E90491E859.jpeg
 
Back
Top Bottom